menu-iconlogo
huatong
huatong
femi-one-utawezana-cover-image

Utawezana

Femi Onehuatong
obito226huatong
歌詞
収録
Femi, ndo ule Mejja, ndo ule Mejja

Si ulikuwa unadai kuchapiana naye

Ishia, ishia, ishia

Okonkwo pole nimekuja ghafla (usijali)

Ni vile we hukuwa umenibamba

Aah, Femi One pia kwangu we ni msoo

Kwanza vile ulituosha kwa ile verse ya 'Ligi Soo', eeh

Nakupenda manze we hukuwa mhumble (asante)

Legend, kwangu we ni icon

Aah, stori za icon kwanza weka mbali

Femi One mi hukuwa nimekutamani

Eeh, Okonkwo umeanza kunichocha (ah, zii)

Nishow ni wapi uliniona

Aah, Femi One (eeh), we unibamba

Kwa Instagram nikicheki izo mapaja, ah

Okonkwo na kitambi utawezana? (Nitawezana)

Nikikupea utawezana? (Nitawezana)

Manze Femi One nikikupata

Nitakupenda ka vile napenda tumbler

Okonkwo na kitambi utawezana? (Nitawezana)

Nikikupea utawezana? (Nitawezana)

Manze Femi One nikikupata

Nitakupenda ka vile napenda tumbler

Iko haga yako iko

Naipenda ka mke nyumbani na mwiko

Mejja umeanza kuniflirt, aah

Unataka kunikula kama plata

Hiyo kifua nataka kuichambua

Mi nataka kukulamba mpaka ushindwe kupumua, ah

Kidesign umeanza kunibamba

Nikikupea usiende kutangaza

Ah, hiyo ni siri (wazi) ka pin number

Sitaambia mtu sitaambia hata King Kaka

Haina noma leo utanikula

Lakini ka ni ndogo usishinde ukikuja (aah)

Okonkwo na kitambi utawezana? (Nitawezana)

Nikikupea utawezana? (Nitawezana)

Manze Femi One nikikupata

Nitakupenda ka vile napenda tumbler

Okonkwo na kitambi utawezana? (Nitawezana)

Nikikupea utawezana? (Nitawezana)

Manze Femi One nikikupata

Nitakupenda ka vile napenda tumbler

Napenda machali wako na swagger (okay)

Nikicheki fashion yako hapana

Femi One hao machali looku looku

Ni looku tu lakini hawana kakitu

Ah, nataka kurombosa hadi chini

Ah, nataka kuikota huko chini

Ah, napenda kupakua nikiwa juu

Ah, siteti, napenda hiyo view

Fungua bonnet (okay) toa screw (Aha)

Mbona unanidai na usiniambie uongo

Ah, nakudai juu umetoka ghetto

Na we ni manzi hardcore manzi mathongo

Okonkwo na kitambi utawezana? (Nitawezana)

Nikikupea utawezana? (Nitawezana)

Manze Femi One nikikupata

Nitakupenda ka vile napenda tumbler, ah

Femi Uno

Mtoto wa Hadija, haha

Femi Oneの他の作品

総て見るlogo