menu-iconlogo
huatong
huatong
kidum-kibido-haturudi-nyuma-cover-image

Haturudi Nyuma

Kidum Kibidohuatong
nellie_snchzhuatong
歌詞
収録
Nieleze vipi mimi ntaweza kuishi bila wewe

Ukiniacha ukienda zako, penzi wewe

Kama ni ukweli, yale nasikia kwa majirani

Ya kwamba utakuja kwenda zako

Uliniahidi, tutakuwa tukijadiliana

Na maswali yangeleta utata

Kwa nini chinichini

Unanificha yanayokusinya

Lakini unayosema, ni majirani

Kwa nini kando kando

Unanificha yanayokuudhi

Lakini unayateta kwa marafiki

Ukiniacha mi ntalia

Ukienda zako ntabaki naumia

Kama ungelijua

Uoga ni lao, kukupoteza

Ndio nasema, baby

Nakuomba please ubaki nami

Nasema penzi

Nakuomba ubaki, tujaribu tena, tunayo nafasi

Ya kuanza tena

Tunayo nafasi

Ya kujikosoa, haturudi nyuma kamwe

Haturudi nyuma kamwe

Juliana wee

Watu wanasema kama karibuni wee unaoa tena

Ya kwamba nianze kujipanga

Si ukweli, nimekataa

Ni tahadhari kubwa kwangu, na unanitisha

Sijui nimekosea wapi

Uliniahidi

Kama kila jambo lote la nyumbani

Ni muhimu kuliweka wazi

Ni kuki shenge

Uguma buri gihe umbabaza

Kandi uzi ko ngukunda

Ni kuki rukundo

Uguma untera umujinya

Ukica amatwi ngukunda

Ukiniacha mi ntalia

Ukienda zako ntabaki naumia

Kama ungelijua

Uoga ni lao, kukupoteza

Ndio nasema, baby

Nakuomba please ubaki nami

Nasema penzi

Nakuomba ubaki, tujaribu tena, tunayo nafasi

Ya kuanza tena

Tunayo nafasi

Ya kujikosoa, haturudi nyuma kamwe

Haturudi nyuma kamwe

Nakuomba ubaki, tujaribu tena, tunayo nafasi

Ya kuanza tena

Tunayo nafasi

Ya kujikosoa, haturudi nyuma kamwe

Haturudi nyuma kamwe

Tunayo nafasi

Haturudi nyuma kamwe

Kidum Kibidoの他の作品

総て見るlogo