menu-iconlogo
huatong
huatong
maandytrio-mio-btw-cover-image

Btw

Maandy/Trio Miohuatong
natriumchloride8huatong
歌詞
収録
Taniua taniua taniua

Kabaya

Uuha (eeish Vince you killed this vibe)

By the way mi hukuanga bigman, mi hukuanga bigman

By the way mi husababisha, mi husababisha

By the way mi hukuanga bigman, mi hukuanga bigman

By the way mi husababisha, mi husababisha

By the way, mi hukuanga bigman

By the way, mi husababisha

By the way, mi hukuanga bigman

By the way, mi husababisha

By the way

Mi ni bibi ya mtu lakini nimekosa kitu mmh

Mi hupata si issue, but you see it's very little

Game ni tapo (tapo), alafu kitchen ni chapo

(chapo)

Wife material kwa hao, chini ya dear mi ni h- (aai mzee)

Just follow my lead aaha, unogopa nini mh

I gat what you need, pewa shot basi

Kama haikubambi (we kwenda)

Unachoma picha (we kwenda)

Kubleki kwa klabu (we kwenda)

Unapenda vita (aah kwenda)

By the way mi hukuanga bigman, mi hukuanga bigman

By the way mi husababisha, mi husababisha

By the way, mi hukuanga bigman

By the way, mi husababisha

By the way, mi hukuanga bigman (taniua)

By the way, mi husababisha

By the way

Toto amenimiss chapa gawa leo na

Bebwa ndani ya riz na madawa

Leo ni mangoko na gin kama kawa

Nikika seduce ona haga

Babes naskia unanitaka

Usinijaribu ntakuchapa na slippers leo utakipata

Na nikimaliza aki utanifwata

Ndio tuna pst tunaeza mate

Tuanze kwa knee alafu neck

Before tukiss tunaeza peck

Ndio nikuset tunaeza bet

Heri ning'ang'ane na maisha

Mimi nguo zote namatisha

Siezi kubali kuchoma picha

Shida yangu kubwa ni kusababisha

By the way mi hukuanga bigman, mi hukuanga bigman

By the way mi husababisha, mi husababisha

By the way, mi hukuanga bigman

By the way, mi husababisha

By the way, mi hukuanga bigman

By the way, mi husababisha

By the way

Aah mkuruwein kiongozi, bigman

Mi ndio barber na sinanga kinyozi

Mi ni bigman ju nikizama utatoa machozi

Bigman standa sticky waschana mapozi

Naskia fity, amkia kiti mhesh wa kamitii

Amefika achia nziki and then leta kachuma

Na sima ambia mpishi, aeke 'tu nyanya na dania haiambishi

'Nzinapenda wat' ka nyinyi

Maniggah wa mashariki tuko kaskazini

Ex wangu ananipigia sijui ananitaftia nini

Niko shehe na Kabaya fom ni tight ka mini

Hao huniitanga bigman (bigman), bigman bazu

Mbona ulambe chupa na nimeshika round two

Bigman (bigman), bigman bazu

Waiter sababisha alafu udiscuss na mkuu

By the way mi hukuanga bigman, mi hukuanga bigman

By the way mi husababisha, mi husabaisha

By the way, mi hukuanga bigman

By the way, mi husababisha

By the way, mi hukuanga bigman

By the way, mi husababisha

By the way

Beat killer

Maandy/Trio Mioの他の作品

総て見るlogo