menu-iconlogo
huatong
huatong
matatamejja-chini-chini-cover-image

Chini Chini

matata/Mejjahuatong
sdileohuatong
歌詞
収録
Intro (Ken)

Niko wera prr prr nacheki message Ig

Napiga marashi psh psh naseti fiti hygiene

Nacheki msupa na dera na vile amebeba ka Vera

Na vile anatesa ka terroa shape namba nane kibera

(Freddy)

Uuh Ahh cheza chini chini

Uuha Ahh cheza chini chini

Its a monday but am on a Friday vibe

Tuesday but am on a Friday vibe

Uuh Ahh cheza chini chini

Uuha Ahh cheza chini chini

Wednesday but am on a Friday Vibe

Its a Thursday but am on a Friday vibe

1(Fezzoh)

Uhh Ahh Cheza chini chini

Chupa leta mbili mbili

Ni-na madem wawili wili

Na nina ganji inaniwasha ka pilipili

Who dat amedunga mini

Huddah cheki hio mwili

Mwambie sibongi lugha ingine ka si kiswahili

Na nina miti anaweza swing nae ka tumbili

(Richie)

Ahh anapika githeri na gas

Ahh anapika chapati na pas

Ahh anapenda vile me na dance

Niki puff na pass niko Khat na grass

(Freddy)

Uuh Ahh cheza chini chini

Uuha Ahh cheza chini chini

Its a monday but am on a Friday vibe

Tuesday but am on a Friday vibe

Uuh Ahh cheza chini chini

Uuha Ahh cheza chini chini

Wednesday but am on a Friday Vibe

Its a Thursday but am on a Friday vibe

2 (Marcus)

Mi hupenda wasupa gwangi na madiva

Mi hupenda nikiwa nyanya nimeiva

Mi hupenda nikiwa whisky uko river

Mi hupenda chafua shingo na masilver

We hupenda kupika githeri na gas

Sijui ni kuomoka ama ancestors curse

Basi ka ndo form pika chapo na pasi

Ukifika club watilie mchele wa nazi

(Richie)

Ahh anapika githeri na gas

Ahh anapika chapati na pas

Ahh anapenda vile me na dance

Niki puff na pass niko Khat na grass

(Freddy)

Uuh Ahh cheza chini chini

Uuha Ahh cheza chini chini

Its a monday but am on a Friday vibe

Tuesday but am on a Friday vibe

Uuh Ahh cheza chini chini

Uuha Ahh cheza chini chini

Wednesday but am on a Friday Vibe

Its a Thursday but am on a Friday vibe

3 (Mejja)

Nimelipwa Tuesday nimesave kidogo

Pesa ingine nimetumia mukuro

Pesa kiasi nimenunua stockooo

Ile imebaki ni ya pombe na watoto (ahh ahh)

Ambia Sabina ajienjoy, Leo hatuendi kulewa sabina joy

Niko na doh ya kukunywa huko uptown

Lakini kwanza kanuthu apo downtown

Tunalewa na ni Tuesday Niko na doh ya kuparty ka Furdahi day

Niko busy na watoto bariki mzinga i slap kwa matako

Asubuhi ndo naingia kejani, kwa stairs nakutana na jirani

Wanani judge lakini sijali ju naenda kunyandua mali safi, eh!

(Freddy)

Uuh Ahh cheza chini chini

Uuha Ahh cheza chini chini

Its a monday but am on a Friday vibe

Tuesday but am on a Friday vibe

Uuh Ahh cheza chini chini

Uuha Ahh cheza chini chini

Wednesday but am on a Friday Vibe

Its a Thursday but am on a Friday vibe

matata/Mejjaの他の作品

総て見るlogo