menu-iconlogo
huatong
huatong
歌詞
収録
Ayeee

Rhumba imetamba

Sauti Sol in addi area kumechacha

Karibuni kwenye extravaganza

Bensoul alipofika alifunika, eeeh

Wakaja na madrama

Sinema zetu ni telenovela, eeeh

Wakasunda mizinga

Hawakujua si tuko mavela, ii-eeh

Wakaita polisi

Kumbe polisi pia ni shabiki, eeeh

Wakaficha msosi

Wakatupata na dishi mezani

Ayeee

Rhumba imetamba

Sauti Sol in a di area kumechacha (Kila kona, yo, yo)

Karibuni kwenye extravaganza

Nviiri alipofika alifunika, eeeh

Walifunga milango

Wakatupata tuko ndani nao

Wakaita makanjo

Kumbe ni sisi huwalipa salo (Wo-wo-wo-wo)

Wakazima mitambo

Shabiki wakabaki kwenye dance floor

Na iwe funzo kwao

Tunaongoza wanafuata nyayo

Ayeee

Rhumba imetamba

Sauti Sol in a di area kumechacha

Karibuni kwenye extravaganza

Na Crystal alipofika alifunika, eeeh

Wakaja na umati

Wakageuka kuwa wafuasi

Wakaja na majini

Wakapata tushazama kwa dini

Nyele za kifarasi

Lakini si ni moto ya makasi

Risasi mwendo kasi

Dandieni msiwachwe na basi

Ayeee

Rhumba imetamba

Sauti Sol in addi area kumechacha

Karibuni kwenye extravaganza

Kaskazini walipofika walifunika, eeeh

Wakaenda kusini

Wakajipata wako kaskazini (Eeh)

Wakaja na magigi

Lakini si tukaja na muziki (Eeh)

Wo-wo-wo, ye-ye-ye

Hata wazime taa tutazidi kuparty

Wo-wo-wo, ye-ye-ye

Hizi vitu hazitakangi utiaji

Na wakiapisha, (Tunaapisha)

Na wakifunika, (Tunafunua)

Eh wakianika, (Tunaanua)

Na wakisafisha, (Tunachafua)

Ayeee, Rhumba imetamba (Mama, yo-yo-yoo)

Sauti Sol in addi area kumechacha

Karibuni kwenye extravaganza

Karibuni kwenye extravaganza

Ayeee, Rhumba imetamba

Sauti Sol in addi area kumechacha (mama yoyoyoo)

Karibuni kwenye extravaganza

Karibuni kwenye extravaganza

Why are you looking for trouble, trouble, trouble?

Hapana rusha mawe kwa police station

Kabla uwashe kivela cheki situation

Hapana shusha bendera kwa chifu

Why are you looking for trouble, trouble, trouble?

Bibi ya wenyewe is a no-go zone

Kabla ukute vitu piga protection

Nairobi mwizi utageuzwa jivu

Why are you looking for trouble, trouble, trouble?

Hapana rusha mawe kwa police station

Kabla uwashe kivela cheki situation

Hapana shusha bendera kwa chifu

Why are you looking for trouble, trouble, trouble?

Bibi ya wenyewe is no-go zone

Kabla ukute vitu piga protection

Nairobi mwizi utageuzwa jivu

Sauti Sol/Bensoul/Nviiri The Storytellerの他の作品

総て見るlogo