menu-iconlogo
huatong
huatong
trio-mio-nmekapitia-cover-image

N'Mekapitia

Trio Miohuatong
tweediepqdhuatong
歌詞
収録
(Oh my God this beat)

Aaanhuh!

Trio Mio

(Mavo on the beat)

(Trouble)

Nmekapitia

Nimekula ngumu sana (huh)

And mama told me

One day I'm gon be a superstar

Oooh woo woooo

Kichampagne, we poppin

Mabombe, kwa cockpit

Mabouncer na walkie-talkie

Ni Trio, hamna copy?

Kichampagne, we poppin

Mabombe, kwa cockpit

Mabouncer na walkie-talkie

Ni Trio mazee

Nmerauka mapema kama kawa niko shug'li

Naambiwa siku njema huonekana asubuhi

Kusema watasema, majority wanijui

Na si ati najali, sitambui

Banja ile unabanja

Mkwanja mtanikanja

Mganga najiganga

Banger after banger

Nasonga kakisonga niko bumper to bumper

Chuma miukangonga kakiwaka kuwaka

Energy ni easy, vibe iko simple

Enemies within me, bad bele people

Jealousy kwa wingi, eyes of the evil

Sir Jah ako na mimi, na hivyo ndivyo iko

Form kamejipa na manguna madenge

Chuom najinyuria na mabuda tubembee

Kam tujinice na madoba kwa tenje

Gwan tukivibe na mabandal wolenje

Na manguna madenge

Na mabuda tubembee

Na madoba kwa tenje

Na mabandal wolenje

Nmekapitia

Nimekula ngumu sana (huh)

And mama told me

One day I'm gon be a superstar

Oooh woo woooo

(One day I'm gon be a superstar)

Kichampagne, we poppin

Mabombe, kwa cockpit

Mabouncer na walkie-talkie

Ni Trio, hamna copy?

Kichampagne, we poppin

Mabombe, kwa cockpit

Mabouncer na walkie-talkie

Ni Trio mazee

Unenge naielewa tumelala njaa

Matime nasakanya dagaa skuma na ugangaa

Natapakaa kwa sinia tunaimassacre

Mi masa na watu wangu AP Agatha

Tucheki sai pesa plastic

Nimechange tactics

Number one culprit

Mr Fantastic

Remember wakisema Trio gengetone artist huh

Madoba nachanganya bila practice

Charts nawapiga maminyongolo

Wakongwe wapatiwe mamikongojo

Huwezi kosa maJudas

Mi nna imani ya Musa

But akili na ufisi ni ya Solomon yeah

Mafans wako na mimi na si mkorogo yeah

Zenyu ni makiki na maporojo yeah

Mi ndo mwenyekiti nna kikolombo

Nimedunga hard collar na matiki za mayolo bro yeah

Form kamejipa na manguna madenge

Chuom najinyuria na mabuda tubembee

Kam tujinice na madoba kwa tenje

Gwan tukivibe na mabandal wolenje

Na manguna madenge

Na mabuda tubembee

Na madoba kwa tenje

Na mabandal wolenje

Nmekapitia

Nimekula ngumu sana (huh)

And mama told me

One day I'm gon be a superstar

Oooh woo woooo

Kichampagne, we poppin

Mabombe, kwa cockpit

Mabouncer na walkie-talkie

Ni Trio, hamna copy?

Kichampagne, we poppin

Mabombe, kwa cockpit

Mabouncer na walkie-talkie

Ni Trio mazee

Trio Mioの他の作品

総て見るlogo