menu-iconlogo
huatong
huatong
가사
기록
Ningware nimeamka na mi naota ka jua

Nishatumia punch na hata sijapumua

Siezi ringa na hii mwili ju ni maua

The more unazeeka, the more pesa unaitambua

Nilikatia ule ngoko akakubali, men na sijazoea ivo aje?

Si kumuuliza ka ye hukuanga na chali mehn ju sijazoea ivo aje?

Nimezoea ivi aje? kucheza na matiti aje?

Kuplay na mabig tingz aje?

Mkono pana ikuwe ni big ting aje?

Si aty ni kila saa, ni aty budaa unaboo

Si aty ni wivu ni aty budaa unaboo

Si aty ni kila saa, ni aty budaa unaboo

Si aty ni wivu ni aty budaa unaboo

Wuuuzuuuuu

Ni Guzman yaani madidi the man

Nina manjling na mangoto za kizing ding

Ma tbn nikiwatrace waudizna

Ma baroda miukashi na kinyambiz

Kwenye ma tiki ukidigi down nichi

Na ukinitrace escobaku yuko riai

Nikukufanya ka tumepachu kuzingding

Na ma ayela wenye bompa aje?

Ni maziwa ndo kubonga aje?

Na ka haukanafi we nyonga aje?

Ka haukanafi we nyonga aje?

Ye hukuwanga ready akihesabu mara utat

Kibir miukufanyia kama sutra

Wuzga nipate ka umebugda

Maluda aluta alafu nikuitie uber

Miumwonyesha tuburn sativa, ye hunionyesha tuchange saliva

Miumshow venye ameiva

Na roho inasema ni yeye tu inaprefer

Dem aniite bro mimi, mimi, mimi, mimi, mimi, ghai mimi

Dem aniite bro mimi, mimi, mimi, mimi ntakabang bros

Nilikatia ule ngoko akakubali mehn na sijazoea ivoo aje?

Si kumuuliza ka ye hukuanga na chali mehn ju sijazoea ivo aje?

Nimezoea ivi aje? kucheza na matiti aje?

Kuplay na mabig tingz aje?

Mkono pana ikuwe ni big ting aje?

Nilikatia ule ngoko akakubali mehn na sijazoea ivoo aje?

Si kumuuliza ka ye hukuanga na chali mehn ju sijazoea ivo aje?

Nimezoea ivi aje? kucheza na matiti aje?

Kuplay na mabig tingz aje?

Mkono pana ikuwe ni big ting aje?

Nina magetetete kiseti twendelee, leo tunachana adi zambere

Ita pedii akiroll nikipuff, dirty gal ukibounce on your back

Ka spur kuna mug iende round, ha ha hagga yako icheze ground

Na matumbler kwa hall ka anadance, ka kitamba

Okay yo watagwan niaje niaje joh ni holla kuna biz

Niuskizanga tu ganji siwaski

Cheki jamaa hii ni uganga nmechanganya na bidii

Cheki izo taka taka si believe

Taka taka kwako kwangu ni dooh

Na ukibeba tobacco beba adi ndom

Cheki fala ameingia, kalia kidole cha kati kati

Nakuja ka stima nadai beef makinika

We ni simba na unaduck nikifika

Ule ni diva niutambua sinyorita

Figa fine fine ya Africa

Nilikatia ule ngoko akakubali mehn na sijazoea ivoo aje?

Si kumuuliza ka ye hukuanga na chali mehn ju sijazoea ivo aje?

Nimezoea ivi aje? kucheza na matiti aje?

Kuplay na mabig tingz aje?

Mkono pana ikuwe ni big ting aje?

Nilikatia ule ngoko akakubali mehn na sijazoea ivoo aje?

Si kumuuliza ka ye hukuanga na chali mehn ju sijazoea ivo aje?

Nimezoea ivi aje? kucheza na matiti aje?

Kuplay na mabig tingz aje?

Mkono pana ikuwe ni big ting aje?

Boondocks Gang/rekles/Guzmán의 다른 작품

모두 보기logo