menu-iconlogo
huatong
huatong
breeder-lw-kitu-nono-remix-cover-image

Kitu Nono (Remix)

Breeder LWhuatong
omnipotentjeffhuatong
가사
기록
Hii kitu ni nono

Denge nimsimame kama konokono

Spliff ni kwa mkono

Mdomo ya denge manze si ni lolo

Hii kitu ni nono

Denge nimsimame kama konokono

Spliff ni kwa mkono

Mdomo ya denge manze si ni lolo

Bazuu bazuu bazuu

Ka niko ndani ngoma ni noma

Na inagonga kama radi

Bazuu bazuu bazuu

Mahali imefika mi nashangaa

Nashindana na kina nani

Ni hao, ni why, ni who

Maswali mingi ni za kitoto

We panguza makamasi

Bouty, denzel, master

Ssaru na maandy ongeza buda

Combination ni hatari aah

Ah, kitu ka ni nono ina tetanus

Nishai mwaga vodoo kwa calabash

Nina kitambaa ya kupanguza dust

Incase nikistep nikanyagwe clarks

Sivuti nganya na silambi nyap

Hujai level up mi napanda ranks

Tukifunzwa ujana we ulihata class

Jina ni bigii mi hulipa tax

Roho chafu we ioshe na harpic

Uto mabang'a ishageuka habit

Nina heshima huwezi nunua tuskys

Album next ah classic

Flow ni mingi kama ndae dt dobie

Kitu nono ye huipendaga doggy

Bazenga daddy nilifika kwa show biz

Wasani wote sa wananicopy

Kabaya nishafika kwenye scene

Haya katambe ka una beef

Waya chini ya maji sub-marine

Rada spit game tai chi

Messiah naokoa kina nyi

Gwaya wananiogopa ni malaya

Kuclaim kila team na bado ni bottom rip

Kitu nono inamaliza tena ina tisha futi ni tisa

Niko jikoni napika nikimaliza turudi misa

Ng'ang'a nini hata chini piga ka ni vita

Siamini kichwa chini nahesabu raundi ya sita

Sitachoka kuwatisha

Sita-sitawacha wakilisha

Sita-sitawacha kuwa teacher

Clean bi**h piga picha, follow the leader

Infact niite picha mr

Usitry bahatisha

Miaka nne nawaosha mmh, aibu

Fyeka beat maandy tosha

Hii kitu ni nono

Denge nimsimame kama konokono

Spliff ni kwa mkono

Mdomo ya denge manze si ni lolo

Hii kitu ni nono

Denge nimsimame kama konokono

Spliff ni kwa mkono

Mdomo ya denge manze si ni lolo

Nduru apige, vile makende ya bouti ni nono

Ndugu mpende, mpaka ajaribu kukutupia mkono

Niko rongai juu ya mangwai na mistari za stori za ngono

Nilitolewa uvajo na matha enzi za wingu la moto

Bonga nikuonyeshe mbona mi husemanga number ni wrong

Vile kurui aligenya vile alikam

Suspect stand the pressure mbona unatap the phone

Mlami ashajileta shore anadai kujipatia ball

Nikitoka kwa tumbo ya matha, mi nilikuwaga mandom

Nilichotaga supu na sandra then wakachota ki corazon

Mi ni chemist condoms bouty ashajua ashatolewa phone

Vile nilipigwa mtaani bouty nilibaki nikiimba home

Ju kitu ni nono, imebidi tukuje na remix for the people

Nikam niwa ajax, vile nasukwa na denge amebeba zigo

Kuwakunywa kama bibo

Difference ya si na gava tunawork for the people

Ju kitu ni nono, ey flow kali tena nono

Mbogi biggy manze yenyu ni ndogo

Mtu sita ndo mjue ni zogo aah

Mmh wacha katambe men, 2020 mi silali

Mi ndo ule ulionywa na mzazi

Pewa wembe nika-sharpen makali

Like oof wewe ni nani msee

Menu mi sijali nimekula shida mpaka na maji

Wengi wenyu mkikula kibabi

Yeah flow tight than yours wide

Zenyu ni koro na yangu ni virgin

Nikingwai nitaball all night

Ndio nikafunge mokoro awe ganji

Kong, yeah ju kitu ni nono nimeleft

Sheesh you don't know

Hii kitu ni nono

Denge nimsimame kama konokono

Spliff ni kwa mkono

Mdomo ya denge manze si ni lolo

Hii kitu ni nono

Denge nimsimame kama konokono

Spliff ni kwa mkono

Mdomo ya denge manze si ni lolo

Kuna mtu amekuja kuchachisha, nani ssaru wa manyaru

Cheki venye mnanikaribisha, na nini mmh kinyaru

Alafu na plate ya pilau, na nyi ndo mnakuwanga wadau

Majina zenyu nishasahau, alafu huwa sipendi dharau

Kwanza hizo za kina kamau na sipendi pia za musau

Leo nimekuja na katot kwa hii fore nimekuja kupoach

Siku hizi huku mi ndio coach so unaeza ni-approach

Naskia ati mnaniitanga boss na eti mnaeza ni adopt

Mnaniomba mapicha mpost, bro hiyo itawacost

Nimekuja na moto mkali, fire extinguisher inazima nani

Nataka tu daktari mwenye atanipea dawa fulani

Ata akinipa kachali, who chuma inalala ndani

Ata akinipa kachali, who chuma inalala ndani

Ati ata akinipa kachali, what chuma inalala ndani

Afande, weh, kitu ni nono, ooh baby you don't know

Nachapa ka box ya mono, nafanya hadi arushe mikono

Nateka goshodo nachapa nachapa nafinya ata ka niko donyo

Epuka mapoko ju pongi inanuka na bado ina kisonono

Ka daily ni ka niko soko venye mangoko wananihanya

Wao hupenda kucheza na mboko

Kwanza ile gethaa wameshinda wakinyanya

Afande analeta mashida na roll kwa rodi na dinga

Ndole kwa wenye wanaringa na ball ni ka ni mariga

Navuta mangwelo na cigar, saba ukichora napiga

Haga si biggy ni bigger, vk anikwame ka tinga

Mi rapper, mi singer, na bado nacheza ka winger

Mangoto kwa kila finger alafu natoka wajinga

Ngoma ni tamu ka tende, jibambe ka uko matembe

Ka unanipenda nikembe, songa ni kama ni sembe

Hii kitu ni nono

Denge nimsimame kama konokono

Spliff ni kwa mkono

Mdomo ya denge manze si ni lolo

Hii kitu ni nono

Denge nimsimame kama konokono

Spliff ni kwa mkono

Mdomo ya denge manze si ni lolo

Breeder LW의 다른 작품

모두 보기logo