menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Furaha

Iyaniihuatong
olguismrhuatong
가사
기록
Furaha, ni kuwa na marafiki

Furaha, ni kulewa na marafiki

Furaha, ni kuwa na marafiki

Furaha, ni kulewa na marafiki

Kwa sherehe tumefika

Sherehe tumefika

Kwa sherehe tumefika

Sherehe tumefika

Familia iko ndani, ndani

Wote tunajibamba

Marafiki majirani, rani

Wote tunajibamba

I am happy today, so happy

I am happy today, so happy

Ju sisi ni walevi, sisi ni walevi

Tunapenda kamnyweso, tunapenda kamnyweso

Sisi ni walevi, sisi ni walevi

Tunapenda kamnyweso, tunapenda kamnyweso

Furaha, ni kuwa na marafiki

Furaha, ni kulewa na marafiki

Furaha, ni kuwa na marafiki

Furaha, ni kulewa na marafiki

Pem-peremre (Iyanii)

Pem-pem-pem-peremren (Iyanii)

Pem-peremre (Iyanii)

Pem-pem-pem-peremren (Iyanii)

Comrades power (Power)

Comrades power (Power)

Niruhusu leo niwaite makondoo (Aii)

Skiza, ship yaani kondoo is for friend (Ship)

For better for worse yaani through hard (Ship)

Na kuanzia leo that's our relation (Ship)

Ship power (Power)

Ship power (Power)

I am happy today, so happy

I am happy today, so happy

Ju sisi ni walevi, sisi ni walevi

Tunapenda kamnyweso, tunapenda kamnyweso

Sisi ni walevi, sisi ni walevi

Tunapenda kamnyweso, tunapenda kamnyweso

Furaha, ni kuwa na marafiki

Furaha, ni kulewa na marafiki

Furaha, ni kuwa na marafiki

Furaha, ni kulewa na marafiki

Aiiii-ih

Mnanibamba mbaya, ah wote

Tiki (Taka) Tiki (Taka) Tiki (Taka)

Tiki (Taka) Tiki (Taka) Tiki (Taka)

Furaha, ni kuwa na marafiki

Furaha, ni kulewa na marafiki

Furaha, ni kuwa na marafiki

Furaha, ni kulewa na marafiki

Iyanii의 다른 작품

모두 보기logo