menu-iconlogo
huatong
huatong
mbosso-ate-cover-image

Ate

Mbossohuatong
neondrag-onhuatong
가사
기록
Nataka longa na wewe

Nikufunze mapenzi

Mwenzako nayajua

Nataka sema nawe

Nikufunze penzi mimi ninalijua

Nipe nikubembeleze kama mtoto ng'ara

Kwa raha zako ujinenepee

Nikushike pendo lisiteleze likagaragara

Wabaya macho masisogelee

Twende Zanzibar Comorro Mombasa

Tucheze zumari ndombolo chakacha

Nikupe michezo hatari uzidi takata

Tuwe ng'aring'ari Dangote Tanasha

Kama kikogwa nitala na chumvi

Ate ate ate atee

Vimboga mboga sangara uduvi

Ate ate ate atee

Eeeeh iyanaaa iyaaaa

Ate ate ate atee

Iyaaana iyaaaaa

Ate ate ate atee

Mhh mhhh mhh mhhh mhhh

Mimi daktari

Daktari wa mapenzi

Dozi yangu temethali

Inatibu na kuenzi

Mhh

Yangu tamu tamu bila kuchanjia

Chachu kwa kudambulia

Swafi kwa kuitumia ni salama

Kama buble gum utatafunia

Ndafu kwa kusukumia

Mhh chakurumagia

Kinyama

Penzi liogelee hii bahari salama

Selelea se

Tuelee mioyo isiende mrama

Selelea se

Tule tujisosomoe nyama nyama za shawarma

Selelea se

Habib seleleaaa

Twende Zanzibar Comorro Mombasa

Tucheze zumari ndombolo chakacha

Nikupe michezo hatari uzidi takata

Tuwe ng'aring'ari Dangote Tanasha

Aaaaah Ah

Kama kikogwa nitala na chumvi

Ate ate ate atee

Vimboga mboga sangara uduvi

Ate ate ate atee

Eeeeh iyanaaa iyaaaa

Ate ate ate atee

Iyaaana iyaaaaa

Ate ate ate atee

Jamaa mwali kang'ang'ania (Anaitaka)

Mmhh analilia (Anaitaka)

Oooh kashikilia (Anaitaka)

Nimpe yote yote

Yani nzima nzima (Anaitaka)

Oooh kulamba lamba (Anaitaka)

Chocolate ya maziwa (Anaitaka) yote yote

Mbosso의 다른 작품

모두 보기logo