Bwana ni mwokozi wangu tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Nakuomba mungu awasamehe
Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
Na maadui wangu nawaombe maisha marefu wazidi kuona ukinibariki
Ujue binadamu ni waajabu sana
Walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
Ujue binadamu ni waajabu sana
Walimsulubisha yesu messiah bila kusita
Bwana ni mwokozi wangu tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Wewe ndio nategemea kufa kupona baba nakutegemea
Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea oooh oooh yeah
Wewe ndio nategemea amen kufa kupona baba nakutegemea oh oh
Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea wewe ndio nategemea
Wewe ndio nategemea kufa kupona ndio nategemea eh bwana
Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea eh maisha yangu yote
Wewe ndio nategemea kwa nguvu zangu zote kufa kupona baba nakutegemea nakutegemea
Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea oooooooh
Bwana ni mwokozi wangu tena ni mkombozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende leo kuliko jana
Wewe ndio nategemea wewe kufa kupona baba nakutegemea wewe
Chochote kitanikatsia uh huh kuingia binguni utaniondolea
Wewe ndio nategemea oooh kufa kupona baba nakutegemea nakutegemea
Chochote kitanikatsia kuingia binguni utaniondolea
Bwana ni mwokozi wangu tena ni mkombozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Nipende leo kuliko jana