Mafunzo ya dunia
Niishi ni ose
Nisote nikope
Nipate ya wote
Utatembea pengi
Na macho ni mingi
Sikio ni mbili
Tumia akili
Uwe wa kwanza
Usiwe wa pili
Maisha si movie katika hizi enzi
Oooh dunia mbona hukunipa penzi
Maisha haya kwako hapa ni magumu
Ninavumilia mwisho nitajivunia ya dunia mbona hukunipa penzi
Mimi nina shangaa
Mimi nishangaa
Mimi nishangaa
Mimi nishangaa
Mimi nishangaa nilifanya nini
Ili niishi ivi
Maisha yangu yangu duni
Naimba hii mziki nipate riziki
Mwisho nitanawiri niendeshe mercedes
Nitangaa shida za dunia niziache nyuma niendelee
Niendelee na
Nitapaa shida za dunia
Niziache nyuma niendelee
Ah aaaah
Oh dunia mbona hukunipa penzi
Maisha haya kwako hapa ni magumu
Ninavumilia mwisho nitajivunia
Ya dunia mbona hukunipa penzi
Mimi nina shangaa mimi nishangaa mimi ninashangaaa
Mimi ninashangaaaa aaaah mimi ninashangaa
Mimi ninashangaa mimi ninashangaaaaaa
Mimi ninashangaaaa