menu-iconlogo
logo

Tujiangalie

logo
가사
Barua toka Jaramogi na kenyatta

Wanauliza kama Kenya kuko sawa

Nikawajibu Kenya tuko na disaster

Watoto wetu wanazidi kuzikana

Na Tom Mboya ameshika tama

Alituacha kama angali kijana

Je angekuwa mambo

Yangekua sawa

Ndivyo alivyopanga maulana

Deni mlizowacha bado tunalipa Tunalipa

Na tumekopa zingine china

Tukajenga reli pia barabara

Zilizobaki watu wakasanya

So

Tujiangalie Tujiangalie

Tuko pabaya leo kuliko jana

Sikio la kufa halisikii dawa

Tuko kwa twitter tuna jibizana

Tujiangalie Tujiangalie

Tuko pabaya leo kuliko jana

Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta

Tusake zetu

Tungali vijana

Waumini kwa mathree na passie kwa bimmer

Kushoto fungu la kumi

Sadaka kulia

Ndio maana mbele ya kanisa mheshimiwa

Anakula sacramenti

Kabla ya raia

Siku za mwisho zime shawadia

Na revelation inatuambia

Hii generation inachoma picha

Ni generation yetu

So

Tujiangalie Tujiangalie

Tuko pabaya leo kuliko jana

Sikio la kufa halisikii dawa

Tuko kwa twitter tuna jibizana

Tujiangalie Tujiangalie

Tuko pabaya leo kuliko jana

Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta

Tusake zetu

Tungali vijana

Michuki alisema tufungeni mikanda

Ona leo twavuna tulicho panda

Kura zetu zilitugawanya

Makabila na pesa pia tulimanga

So when you make your bed oh

You lie on it ohh

Usingizi gani tumelala

Tuta jua hatu jui

Vision 2030 itabaki ni story

Tujiangalie Tujiangalie

Tuko pabaya leo kuliko jana

Sikio la kufa halisikii dawa

Tuko kwa twitter tuna jibizana

Tujiangalie Tujiangalie

Tuko pabaya leo kuliko jana

Tusipo ziba ufa tuta jenga kuta

Tusake zetu

Tungali vijana

Mdosi aliniambia

Freedom never comes for free

We vote tribe ama real cash ask Boni

Tuna roho mahali hamwezi

Ita GSU plus doggy

World mzima twitter

Kot ndio first body

Burn picha si ni waafrika

Black coffee Annan

I'm richer than my neighbor but we both in the slum

If the rich always win then

Why should the popular run

Unless democracy ni word si usema

Only for fun

Tujiangalie Tujiangalie

Uh na hii weekend tuko church

Tunauza sura kabisa

Post ya haga

Huenda poa sana na

Caption ya scripture

Kaa hiyo gospel

Pitisha bag ya sadaka kwa club

Tujiangalie Tujiangalie

Uh traffic madrug ubuy ndai

Traffic mandai zinadrag

Ku admire mwizi amemake it

Story za shamba wamegrab

Mkono nahonga imevaa

Bracelet ya colors za flag

Yeah

Tujiangalie - Sauti Sol/Nyashinski - 가사 & 커버