menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Inachuna

VDJ Joneshuatong
가사
기록
VDj Jones, Si unajua ni genje ni mbwaya

Mavo on the Beat...

Ati, ni hatari

Vile anazitoka odinary

Ni hatari

Mi najua hatari ati

Ah inachuna, kutu kwenye chuma inachuna

Inachuna, tena sana inachuna

Ati, inachuna, kutu kwenye chuma inachuna

Inachuna, tena sana inachuna ati

Ukiskia Juacali, we jua kunachuna

Ukiskia beat ya Mavo jua inachuna

Bado meno iko vunja mfupa

Bado tembo ziko vunja chupa

Haribu mtu wangu we mezesha

Usiku changa we serereka

Shisha iko changanya ketepa

Round ya pili inakuja we pewa

Kunja mtu gizani kisawasawa

Mkumbushe hii chuma ni ya pawa

Na kwa wale wanasumbua kwa sana

Lazima wajue hii kutu inachuna

Ah inachuma, kutu kwenye chuma inachuna

Inachuna, twende sana inachuna

Ati, inachuma, kutu kwenye chuma inachuna

Inachuna, twende sana inachuna ati

Inachuna jaba natafuna

Inachuna naskia kujikuna

Inachuna, inagonga

Nawaroga nikibonga

Peng ting nakatia

Peng ting napitia

Zimeshika mi nadai tu mabeer

Zikishika chora saba nadandia

Huku ukitembea na nare ni ka kipande

Afande sina kipande niko na Omo

Mgenjiko toa kwa zabe ni ka ni somo

Mkwela kama ni kware sindai ngono

Mbasu wa heavy ju ndani walevi

Mapeddy mathegi na bado mavedi

Namedi na hedi na kando makeki

Nakata makeki ni ka ni bash tei la

Ah inachuna, kutu kwenye chuma inachuna

Inachuna, tena sana inachuna

Ati, inachuna, kutu kwenye chuma inachuna

Inachuna, tena sana inachuna ati

Inachuna

Nilipanda veve shash ndo nilivuna

Still na kakiwashwa na kikikuna

Na kako chonjo konjo Conjestina

Yeah yeah yeah yeah noma sana

Umejaza uzigo, so rewind mitindo

Fisi kwa miwindo, nyapia mipindo

Ila City naikuna, sio kizalendo

Na kakuta nakabless, ila si kufyeko

Romance nakapigia nyambizizi

Mapenzi juu nimetokea uswazizi

Sweet kama kameshikiaga eazy

Nakapekenya kanacheka kwikwikwi

Ah inachuna, kutu kwenye chuma inachuna

Inachuna, tena sana inachuna

Ati, inachuna, kutu kwenye chuma inachuna

Inachuna, tena sana inachuna ati

Mi hukata kuchapa ni kama randa

Ukinipa ni rubber na kukumanga

Daily mangata mafans venye nawamada

Ni kama airtime venye mimi nawabamba

Nakupa shot sita bora we uchore saba

Kwa kiti, kwa meza hadi kwa kitanda

Mi si worker but nitakulima kama shamba

Kama Passa passa Iano nicheze na hiyo diaba

Inachuna, ni Vuva Vuva

Niko bumper ukikwama nasukuma

Mi najituma hakuna dumba

Nitakula kubwa mi ka Olunga

Mbogi mbaya tukipull-up mnatii

Si kwa charts si ndo 1, 2, 3

Tunawapiga piga buti kama Booker T

Si ndo huchafua vida hadi mp3

Ah inachuna, kutu kwenye chuma inachuna

Inachuna, tena sana inachuna

Ati, inachuna, kutu kwenye chuma inachuna

Inachuna, tena sana inachuna ati

Mihadare jo ako jaba

Niko giso niko murambe

Lazima itubambe we wa shada ama ngale

Pass hiyo pass sisi mapapa si mafathe

Gwas ni ya warasta na rizna jo ni za warasta

Mambota piga snapchat, tin piga pass

Chota mzinga bila glass

Tutazima tu kwa class

Kwenye suti ni matrust

Kwenye pori ni ki Trust

Nikibleki niraukie hosi

Jo nisuke nurse

VDJ Jones bila pause

Kila mtu on toes

Si unajua ni genje

Genje ni mbaya

Kwa ground vitu ni fire

Itabaki unagwayaa

Hahahaha the Superstar DJ

VDJ Jones의 다른 작품

모두 보기logo

추천 내용