menu-iconlogo
huatong
huatong
breeder-lw-bazenga-daddii-cover-image

Bazenga Daddii

Breeder LWhuatong
hauqmmlilyoaxhuatong
Lirik
Rakaman
Yeh

Bazenga daddii

Yeh

Hizi mitaa wao huniita

Bazenga daddii

Hadi wa zing na ma peng huniita

Bazenga daddii

Step out all eyes on

Bazenga daddii

Bazenga daddii

Bazenga daddii

Yani fresh to the bone me ni

Bazenga daddii

Wa zing na ma peng huni ita

Bazenga daddii

Step out all eyes on

Bazenga daddii

Bazenga daddii

Bazenga daddii

Bazenga daddii hio ni title ya Ki buda

Sa banii apewe red card kwa grao nawa chuja

Vile navuma na sijaguzanga dumba

Wakisema breeder sio star hio ni rumor

Peng ting beside me

Ye hushindanga tik tok alisare ig

Wazing uptown downtown hudai me

Huwashika na big tune hii ni ya motif sikosi

Ma bramba na ki lighter kwa pori

Kuki washa na kumedi nikiwa lonely

Boss man,majua ma biggie syoki

Wale keja zao ndani kuna hosi

Ju ni biggie

Msupa namchizisha na ma quickie

Kutoka rookie nishageuka mvp

Iko nini acha nizidi kuzidi

Bazu ni gwiji na

Hizi mitaa wao huniita

Bazenga daddii

Hadi wa zing na ma peng huniita

Bazenga daddii

Step out all eyes on

Bazenga daddii

Bazenga daddii

Bazenga daddii

Yani fresh to the bone me ni

Bazenga daddii

Wa zing na ma peng huniita

Bazenga daddii

Step out all eyes on

Bazenga daddii

Bazenga daddii

Bazenga daddii

Ka ni cheap talk sinanga idhaa

Tubonge ganji ndio inadai na inafaa

Cologne flani utainusa from a far

Cladi za wadhii zimetoka vietnam

Make a toast cause we finally made it

Maziwa mingi kama ng'ombe za gredi

Ma gyal dem hunipa headie na jegii

But usinyonye sana si utafanya nidedi

Me niko dago hapo racey magizani

Eastlando hadi ndani nina chargie

Wikendi nayo tunaimaliza na makali

So Monday ngware narauka na ki hangy

Huh but I be fresh to death

Fika bei buda ka unadai connects

Me ni mc na bado ngoma wavy

What you see is what you get hii si day dream

Hizi mitaa wao huniita

Bazenga daddii

Hadi wa zing na ma peng huniita

Bazenga daddii

Step out all eyes on

Bazenga daddii

Bazenga daddii

Bazenga daddii

Yani fresh to the bone me ni

Bazenga daddii

Wa zing na ma peng huniita

Bazenga daddii

Step out all eyes on

Bazenga daddii

Bazenga daddii

Bazenga daddii

Ka uko janta kila siku

We ni bazenga

We unakulanga za kwako

We ni bazenga

Ka ni looku piga safi

We ni bazenga

We ni bazenga

We ni bazenga

Day 1's hujai watupa

We ni bazenga

Na wasoro unachorea

We ni bazenga

Kupiga hesabu umezoea

We ni bazenga

We ni bazenga

We ni bazenga

Lebih Daripada Breeder LW

Lihat semualogo