menu-iconlogo
huatong
huatong
king-kakaexray-taniuaiyaniijoefes-maliza-na-pombe-remix-cover-image

Maliza Na Pombe (Remix)

King Kaka/Exray Taniua/Iyanii/Joefeshuatong
patti_tj59huatong
Lirik
Rakaman
Leo namaliza na pombe

Nataka nimalize na pombe

Leo namaliza na pombe

Nataka nimalize na pombe

Nimekuwa na siku mbaya

Mfuko economy mbaya

Morio ashavuta waya

Na anadai ako ganji mbaya

Tuanzie back street

Mabadae tuingie Kwa bar

Nikute Kwa hii baze ya mutura

Kuja na warembo kadhaa

Tupige keroma kwa madhee

Tupige jaba kwa Baite

Nataka kulewa nibebwe

Tunangojwa kwa party eeh

And so you know

Tunaanza na Jaba

Tunaanza na Jaba

Tunamalizia ya pombe Kwa wingi

Mambo local

Mfuko msoto

Tangu covid kupata hela ni kalotto

Na leo nimeamua tu mzinga mbili nitaziua tu

Simu nimepigiwa na mbogi

Landlord ananidai kodi

Nimekujiwa na lambogi

Mtwapa hadi Nairobi

Nimekuwa na siku mbaya

Mfuko economy mbaya

Morio ashavuta waya

Na anadai ako ganji mbaya

Leo namaliza na pombe

Nataka nimalize na pombe

Leo namaliza na pombe

Nataka nimalize na pombe

Okay najua washakuja adi na maseveve

Wameniamaze wamebeba adi mafefe

Bff asharipoti kama CNN

Tulikulana sahi anaitisha DNA

Nilimreach DM akafika kwangu next day

3pm ndio the last time nakumbuka si pretend

Kumbe ngeus hucheza ata kushinda EPL

What the hell namaliza na tequila

Nitoe hasira nimalize na hizi maswara za madelilah

Ama alikuwa sista ya Shakila mbona

Sikumbuki naona tu magiza

Sina vujing kitu nimebeba ni bundu na pupa

Aki walai atabeba hii mboga na kachupa

Hii ni sherehe kwangu ni hali ya dharura

Nataka niroroe kuliko siasa za Miguna

Ulimaliza na pombe leta koro nichachishe

Kuna fisi anadhani ameweza

Mi nitafinesse siwezi kuwa na siku mbaya alafu niume inje

Kama kienyeji imeomoka nauliza ongeza ingine

Nimekuwa na siku mbaya

Mfuko economy mbaya

Morio ashavuta waya

Anadai ako ganji mbaya

Leo namaliza na pombe

Nataka nimalize na pombe

Leo namaliza na pombe

Nataka nimalize na pombe

Simu sishiki niko kwenye pikipiki

Ambia marafiki leo Nina ganji sishikiki

Kaa uko mbali sifiki

Uko mali na una dhiki

Fika upige sherehe achana nao wapige kiki

Mizinga Kwa nyumba utatoka kaa unayumba

Kuja zikinice tuone movie za kanumba

Ulete kasumba utapata wachumba

Na ikizidi sana naeza kuonjesha matunda

Bouncer anadai nitoe ID hainisaidii

Kwanza venye sina plan B

Nacheki side B anadai sai sai mi na slide in

Nacheki kona morio wangu gaidi

My G anadai kuitisha something

Usilewe uanze zile zako tighting

Nachapa Gordon cheki shawty anagordon

Nikigodown nitaongeza zako vodo

Nimekuwa na siku mbaya

Mfuko economy mbaya

Morio ashavuta waya

Na anadai ako ganji mbaya

Leo namaliza na pombe

Nataka nimalize na pombe

Toka toka haraka

Toka toka haraka

Isitupite anasa

Toka haraka

Toka toka haraka

Isitupite anasa

Toka haraka

Toka haraka

Lebih Daripada King Kaka/Exray Taniua/Iyanii/Joefes

Lihat semualogo