Bluck bluck bluck bluck bluck mmh
Ahh mmh oma ahn mmh yeah
Navyojua kuteleza wa sio kuanguka
Nawe mwanadamu hujatimia utakosaje kuyumba
Wanajua umeniweza kwako siwezi furukuta
Sikutamani hii furaha wanione sikonayo
Ndomana na mie sizifuati zayo nyayo
Najivika ushujaa najivua jaka la roho
Mana upweke na mie hatuwezani
Naweka pata makosa yako yote nabonyeza na delete
Ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie
Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
Yale yalio niliza yaka fanya mpaka nikapungua

Yale yalio niumizaga mmh
Siunajua kwanza moja kipengele sana tu
Mboga libwata ugali mbele shida kuzoea
Mpaka aje kujua mi napendelea tembele ndo akanichumie
Sio leo sio kesho shida kuzoea
Mapenzi matamu amani ikiangazia na hasira kuvumilia
Japo ulimwaga damu na nikaugulia bado majeraha uje uniuguze
Naweka pata makosa yako yote nabonyeza na delete
Ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie
Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
Yale yalio niliza yaka fanya mpaka nikapungua
Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
Yale yalio niumizaga mmh
Moyo unakataa eti mi nawe tusiwe
Tusikubali penzi liwake taa lituzimikie
Mikie mikie mikie mikie
Naweka pata makosa yako yote nabonyeza na delete
Ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie
Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
Yale yalio niliza yaka fanya mpaka nikapungua
Yale yalio niumiza yakafanya mpaka nikaugua
Yale yalio niumizaga mmh
Basi usiridie utaniumiza nilicizi