menu-iconlogo
huatong
huatong
watendawiliokello-max-drill-rhumba-cover-image

Drill Rhumba

Watendawili/Okello Maxhuatong
chechis1huatong
Lirik
Rakaman
Yeah yeah yeah yeah

Wo wo wo wo

Punguza stress, smoke up some more and worry less

Oh don't you know life is a test

Na kila mtu tu anaguess

Ehe ehe, ongeza beer

Jaba kwa wale wanaosinzia

Leta ketepa ikiwa fresh

Mabati leo haiwes

Ehe ehe, I'm feeling blessed

Bash imejaa tu na waresh

On the menu they're serving legs

Dress code ya leo ni underdressed

Ekelea bet, ikianguka usivex

Ngojea tena game next, usiishi maisha na regrets, no no no no

Sina pupa, sina pupa ye

Cheza mziki pole pole, bumaye

Drill Rhumba, mziki wa kipekee

Kila mtu na wake, jitetee

Sina pupa, sina pupa ye

Cheza mziki pole pole, bumaye

Drill Rhumba, mziki wa kipekee

Kila mtu na wake, jitetee

Nimekuja one man

Lakini liwe liwalo lazima tuhave fun

Nakuona ukiniona

You need a real one

We kwangu ushafika, wacha tuadvance

Show you some romance yeah

Usiskize umbeya

Kama ni kulewa leo hii tutalewa

Nitalipia kila kitu utapewa

Mimi ndio kusema na kisha tukimaliza, tunaenda home

Sina pupa, sina pupa ye

Cheza mziki pole pole, bumaye

Drill Rhumba, mziki wa kipekee

Kila mtu na wake, jitetee

Sina pupa, sina pupa ye

Cheza mziki pole pole, bumaye

Drill Rhumba, mziki wa kipekee

Kila mtu na wake, jitetee

Ji tetee, ji tee

Soukous mielore nyaka che

Ojende olonyore, mano koro kuok obagore

Juogi bende koro oidho, ani gini koro

Ring e remo yawa kona mano miel maneno

Aaaha kaki mielna, in slow mo

Ahero sana to ma kionjo

Mama Milka yo yo yo yo

Ayo Mama Milka yo yo yo

Wololo Mama Milka yo yo yo yo

Aaah Mama Milka yo yo yo

Ai Mama Milka yo yo yo yo

Ayo Mama Milka yo yo yo

Wololo Mama Milka yo yo yo yo

Ehe Mama Milka yo yo yo

Sina pupa, sina pupa ye

Cheza mziki pole pole, bumaye

Drill Rhumba, mziki wa kipekee

Kila mtu na wake, jitetee

Hii Rhumba ni Drill Rhumba na Drill Rhumba ndio real Rhumba

Hii Rhumba ni Drill Rhumba na Drill Rhumba ndio real Rhumba

Mama Milka yo yo yo yo

Ayo Mama Milka yo yo yo

Wololo Mama Milka yo yo yo yo

Ehe Mama Milka yo yo yo

Merci MAPESA Papa MANENTO

Boss CEO DOC S.K NYAMU

ERIC MANDALA

Lebih Daripada Watendawili/Okello Max

Lihat semualogo