menu-iconlogo
huatong
huatong
bensoul-napepea-cover-image

Napepea

Bensoulhuatong
sports_totally_roxhuatong
Letra
Gravações
Ouuuu

Aki mapenzi ya Pwani utawezana wewe

Sudah

Mombasani Kongowea

Nilipatanana na Leah

Vitu tamu akanipea

Vitu mi sijazoea

Biryani ya top layer

Avocado ongezea

Moyoni naogelea aaaa

Na kwanza tukipendana

Napepea

Kwanza zetu zikiguzana mama

Sijazoea

Ma mama

Na napepea

Tukipendana

Sijazoea

Na na na

Na napepea

Tukiguzana

Sijazoea

Umenipandisha mpaka wingu la Tisa

Pale umeshika vile umeshika mamaaa aa

Umeshikanisha sita na tisa baby

Basi niambie ukifika tufike pamoja my love

Na na na na na na

Na napepea

Tukipendana

Sijazoea

Na na na

Na napepea

Tukiguzana

Sijazoea

Na na na

Na napepea

Na na na

Sijazoea

Na na na na

Na na na na na

Na na na na na

Na

Napepea

Tukipendana mama

Sijazoea

Na na na na na

Mais de Bensoul

Ver todaslogo