Dere dere cheza na brakes uh
Nani nani anajiwaste uh
Dere dere cheza na brakes uh
Nani nani anajiwaste
Saa hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)
Hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)

Hizi ni gani (eh) hizi hizi

Hayaa baas
Gotea waraz
Alafu tena patia waraz
Na ikishika wachia waraz
Hayaa tuende baas
Haaa abunuas punguza was was
Leo madawa kushinda ma nurse
Leo makoro zinuke marash
Ni chuma inuke risas
Madam tukue wazaz
Alafu tung'ore warazi
Leo lazima tujaze nafasi
Vienyeji wamefanya nini kwa kiduanzi
Dere dere cheza na brakes uh
Nani nani anajiwaste uh
Dere dere cheza na brakes uh
Nani nani anajiwaste
Saa hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)
Hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)
Hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)
Hizi ni gani (eh) hizi hizi
Saa hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)
Hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)
Hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)
Hizi ni gani (eh) hizi hizi
Wacha ni buy tu pesa itakam
That's me mabaadae boo ju sina time
Trust me huku Malibu
Naezapeleka next week
Hizi mali ndo hunuka rose we hujui
Mambo ni mengi masaa ndio hakuna
Shughuli ni mingi matime ndio hakuna
Mahitaji mingi na doh ndio hakuna
Aliingia mtaro siku hizi ye hujikuna
Huyo dem alitoka naye tano
Hizo jegi kwangu zilikuanga turn off
Lakini njeve ikafanyanga nika perform
Though deep down sikuibeba personal
Dere dere cheza na brakes uh
Nani nani anajiwaste uh
Dere dere cheza na brakes uh
Nani nani anajiwaste
Saa hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)
Hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)
Hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)
Hizi ni gani (eh) hizi hizi
Saa hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)
Hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)
Hizi ni gani (Ukora akili na kiburi mingi)
Hizi ni gani (eh) hizi hizi
Si tufike hadi paris
Tukiwasha ki mesanis
Akiteremka dancefloor saa hiyo ako pretty fine
Mos mos wacha tukitune na kadoba
Soko ilifika ile ligi Fulani
Si nimepiga mavitu juu niko mawine
Huyo msupa si ako na mathighs
Amedunga hiyo although ni tight
Naezataka aki akue pretty
Tuziseti hadi ndakaz
Ni majani ya msitu eh
Tunaseti hadi shasha