menu-iconlogo
huatong
huatong
matata-mapema-cover-image

Mapema

matatahuatong
moyedrummerdennishuatong
Letra
Gravações
Me najuwa ati we unanijuwa

Ka ni trust si unajuwa niko sure

Kemoda jamaa moja mature

Nakulike wallahi na ninajuwa una juwa

Mapema mapema very fast

Mapema mapema very fast

Mapema mapema very fast

Mapema mapema very fast

Mapema modo me ndo kemoda joh

Ziiii bazu me ndo bazenga yoh

Unajuwa hii mtaa me ndo kusema joh

Wacha ma chocha una cha chisha yoh

Me ni mchristian ka Ronaldo sichezi vi messy

Kama governor obando huruki hii kesi

Na Unaruka kipetero ki yesu

Ehhhh Na kataa hii story ka nakata na kisu

Juu mi hupenda ma goshodo

Na blend konyagi na kavodo

Kemoda Kenanire kimundu

Zina nice kama devo wa gatundu Ahh

Ka mi ni samson ye ni Delilah

Mmhhh amekunasa kama raila

Jicho nyanya zimeriet macho ka muchina

Akona kina maina na ma dame wafaina

Mapema mapema very fast

Me najuwa ati we unanijuwa

Ka ni trust si unajuwa niko sure

Kemoda jamaa moja mature

Nakulike wallahi na ninajuwa una juwa

Mapema mapema very fast

Mapema mapema very fast

Mapema mapema very fast

Mapema mapema very fast

Mapema ninataka kukemba nimeshindwa kusema

Anipate nyuma ya hema broo

Na jaba, nimeshindwa kutema, toto Kana tetema,

Cheki vyenye na hema broo

Na tena, ye ni bibi ya onjivo

Na unajua sailors walipita na yeye bro

Mapenzi na enzi kishenzi

Si chezi kitenzi malezi

Hauwezi broo

Na mechi ni messy, na passi kwa messi

Kijana mwepesi na bali ndio kesi

Mapema very fast

Hii movie ye ndio cast

Me doggy ye ndio cat

She tryna get it but

Mapema mapema very fast

Me najuwa ati we unanijuwa

Ka ni trust si unajuwa niko sure

Kemoda jamaa moja mature

Nakulike wallahi na ninajuwa una juwa

Mapema mapema very fast

Mapema mapema very fast

Mapema mapema very fast

Mapema mapema very fast

Mais de matata

Ver todaslogo