Malaika...
nakupenda malaika.
Malaika...
nakupenda malaika,
Ningekuwa na mali we,
ningekuoa dada.
Nashindwa na mali sina we.
ningekuoa malaika.
Nashindwa na mali sina we,
ningekuoa malaika
Pesa..
zasumbua roho yangu,
Pesa..
zasumbua roho yangu.
Nami nifanyeje,
kijana mwenzio
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
Interclude
Malaika..
nakupenda malaika
Malaika..
nakupenda malaika
nigekuwa na mali we
ningekuoa dada
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we,
nigekuoa malaika..
Pesa..
zasumbua roho yangu,
Pesa..
zasumbua roho yangu.
Nami nifanyeje,
kijana mwenzio
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
Thanks good luck