menu-iconlogo
logo

Na Iwake (Remix)

logo
Letra
Man a bad man ting

Respect to the maximum

Mimi ka ni beat naua

Mimi ka ni shash najua

Mimi ka ni vajo nyandua

Ka ni sape nafua

Ka hujui utajua (Remix)

Mimi ka ni beat naua

Mimi ka ni shash najua

Mimi ka ni vajo nyandua

Ka ni sape nafua

Ka hujui utajua

Yeah, calling all units over, ah

Shambulizi na wahuni over, ah

Warembo kutoweka kesi serious

Juu wanarudi bila chupi au sindilia

Risky, hiyo ni petroli ya mashini

Bless my room ka Nazizi

Nianike hii mattress kama wiki (Itabidiii)

Burn, burn, Ibra seti shash

Chain, chain, mali iende round

Kitu safi toka South, Rastaman what a gwaan

Deep, nawadigida waroro wakitikitaa

Mimi ka ni beat naua

Mimi ka ni shash najua

Mimi ka ni vajo nyandua

Ka ni sape nafua

Ka hujui utajua

Mimi ka ni beat naua

Mimi ka ni shash najua

Mimi ka ni vajo nyandua

Ka ni sape nafua

Ka hujui utajua (Remix)

(Aiyaya)

Na iwake, eh-eh-eh

Na iwake (Aiyaya) eeh-eeh

Na iwake, aah-aah

Na iwake

Sina pressure ka ni manzi amebeba

Ka ni miti itabidi nimesare ketepa (Ala)

Sina pressure ka ni manzi nakemba

Nina chuma inaeza lala leo mpaka December (Ala)

Attitude ka mode wa Kenya

Kunipita itabidi umesaka mwakenya

Aah, dunda leo imenibamba jooh, eeh

Niko na dem ana madiaba jooh, eeh

Amenitoa kenyamo anaishika-shika

Amerarua mpaka shati ameanza kunilamba

Ashadai acha...

Acha kuacha...

Yeah, Okwonko

Na iwake (Aiyaya)

Eeh-eeh, na iwake (Aiyaya)

Eeh-eeh, na iwake

Eeeh, na iwake

Mimi ka ni beat naua

Mimi ka ni shash najua

Mimi ka ni vajo nyandua

Ka ni sape nafua

Ka hujui utajua

Mimi ka ni beat naua

Mimi ka ni shash najua

Mimi ka ni vajo nyandua

Ka ni sape nafua

Ka hujui utajua

Ni Alejandro nilihama Dago

Nimebuy mansion kando ya Pango

Kuna graduation ya boy vajo

Saa ′ii ni chairman wa Mafisi Sacco

I love you na madem kama thao

I want you na ma bff wao

Me I, me I

Me I need a b***h

Me I need a galdem

Me I need a freak

Slim body gyal but a bumper be thick

She can handle a man with an 8 inch stick

Ngoma ni noma na remix ni kali

Washa kashada na washa iwake

Mimi ka ni beat naua (Remix)

Mimi ka ni shash najua

Mimi ka ni vajo nyandua

Ka ni sape nafua

Ka hujui utajua

Mimi ka ni beat naua

Mimi ka ni shash najua

Mimi ka ni vajo nyandua

Ka ni sape nafua

Ka hujui utajua

(Aiyaya), na iwake

(What a gwan, what a gwan, what a gwan)

Na iwake

(Aiyaya), na iwake

(Aiyaya), na iwake