menu-iconlogo
logo

Kijuso

logo
Letra
E yoo Laizer

Wasafi Records

Unaringa kitu gani we mwenyewe jisute

Afadhali hata nyani sio we mwanamke

Hupendezi asilani so unyoe au usuke

Nilifuata kitu gani umefanya nijute

Mi nakuona punguani na usikurupuke

Kwanza naongea na nani naomba nikumbushe

Mi na wee hatuendani jipandishe jishushe

Usinipande kichwani number yangu ifute

Hizo dharau bwana mpya ulopata

Naona unasahau nyuzi zako nilikata

Nimepanda dau mkataba nimekata

Tena Nyang’au ndo ukome kunifuata

Unaringa una nini kijuso

vijimeno kama jini gaucho

Kwani nawe una nini kituko

uso na kazi mjini upo upo

Punguza kelele mama kelele

acha kelele mama kelele

Punguza kelele baba kelele

acha kelele bwana kelele

Eti nawe unaviimba perfume tu mtihani

Kwanza shati ulovaa umeazima kwa nani?

Wanifuataa kapuku utanipa nini?

Nilikuachaa leo kimekuwasha nini?

Funga bakuli mbele yangu we mshamba

Nakujua vizuri toka unavaa mabwanga

Kati unanuka moshi huna hata ishu

Kwenye pochi wanja na tishu

Unapenda ganda la ndizi kuteleza

Wakati kupambana mpaka mchuzi wa Pweza

Dume zima tantalatantala instagram inahu

Kati kwenu kula kulala

huchangii hata kitunguu

Hizo dharau bwana mpya ulopata

Naona unasahau nyuzi zako nilikata

Nimepanda dau mkataba nimekata

Tena Nyang’au ndo ukome kunifuata

Unaringa una nini kijuso

vijimeno kama jini gaucho

Kwani nawe una nini kituko

uso na kazi mjini upo upo

Punguza kelele mama kelele

acha kelele mama kelele

Punguza kelele baba kelele

acha kelele bwana kelele

Unaringa una nini kijuso

vijimeno kama jini gaucho

Kwani nawe una nini kituko

uso na kazi mjini upo upo

Punguza kelele mama kelele

acha kelele mama kelele

Punguza kelele baba kelele

acha kelele bwana kelele

Kijuso de Queen/Rayvanny – Letras & Covers