menu-iconlogo
huatong
huatong
trio-miomejja-cheza-kama-wewe-cover-image

Cheza Kama Wewe

Trio Mio/Mejjahuatong
phyllis.deanhuatong
Letra
Gravações
Aanhuh

Trio

(Man a bad man ting)

Nina kakitu kwa mbosho nkutolee form?

Kuja na mavitu vidosho ma-corazon

Chocha chipo mwitu na portion ya choma pork

And then mi nitakuja na chumvi

Na nyongi ya juzi

Leo utatoa moshi ka trolley ya msee wa smokie

Nitacheza kama mimi

Alafu nkikupa through pass cheza kama Lewandowski

Ivo ndo si hucheza mjini

Trio cheza kama wewe

Cheza kama wewe

Cheza kama wewe

We bazu cheza kama wewe

Trio cheza kama wewe

Cheza kama wewe

Cheza kama wewe

We bazu cheza kama wewe

Trio nacheza kimimi

Mdhamini sipimi

Na ka unadai moshi utazivuta wakuite chimney

Limit ya fuliza imeongezeka nko machingli

Naeza shika jug na kanuthu uskie tifi

Nacheza kiroro, nacheza kiwingman

Naeza fika soko, nishike ki-G bag

Turirime mdagi meditation na ki-FIFA

Shuksha kibandaski chapo dondo inaeza jipa

Rada na madenge?

Vuta hizo matenje

Usichomange kamenje

Uskii niko mawenge

Unaeza nyonga sana mkono ianze kumea zigwembe

Manze kakiivana si napigana tu vijembe

Nkupeleka na mtrrrr, peleka na mtaratara

Usilete hapa machrrr, manguna vitu chwara chwara

Mi huteka maprrrr, mam'doko wankaa maprincess

Magala ni wapeng wanfaa kupostiwa kwa Pinterest (ai!)

Form?

Manze siuchoche sherehe

Leo tupige kelele

Raha unajipa mwenyewe

Si unichome uko na ndom?

Tukiwashe tupepee

Tukate maji leo tulewe

We bazu cheza kama wewe

Mejja cheza kama wewe!

(Okwonko)

Niko Calif nashikisha

Na mamorio tukichoma shisha

Kuna wale hushukisha

Wale madem hujifanyaga madiva

Ka huyu hapa anaringa

Na hizo lips, ni ka anapiga binja

Bad energy stay far away

Wale wamebaki tupige sherehe

Manze kaa rada ukiwa dunda usilewe

Mafisi wako ready, msupa anyemelewe

Ukiwa dunda ni ubebane

Ama ubebwe, ama ubebewe

Ukiwa dunda ni ucheke

Uchekeshane, ama uchekelewe

Yoh manze zimeriet

Nakwambia zimeshika

Nakuta nina shash

Nani ako na rizla?

Mi naskia kukiseti tukiskiza ma-sizzla

Leo watu ni walewe

Bazu niko na pesa mingi

Ule ni msee wa mayai

Muite umwambie agonge mbili

Ndio nijenge mwili

Nikiteka msupa

Nicheze ka mimi

Yoh, wacha nicheze ka mimi ucheze ka wewe

Tutafte ya mzinga manze jo tuchange

Tulewe, tulewe

Tulewe tulewe tubebwe!

Form?

Manze siuchoche sherehe

Leo tupige kelele

Raha unajipa mwenyewe

Na si unichome uko na ndom

Tukiwashe tupepee

Tukate maji leo tulewe

We bazu cheza kama wewe

Exray cheza kama wewe!

Naeza fanya ngeus atoke chini

Nyoka hutolewa na ulimi

Whisper excuse madam talk chini

Nikufikishie hio habari ya mjini, yoh

Nafika ndani ya bash na mamiwa

Kachumbari raru na dhania

Ukifika solo ka umeiva utavamiwa

Napendaga nyama na maziwa

Mom, mafuta ya ng'ombe si ya k'kamua

Naonanga wavulana wakinunua

Na wote wanasema wamegundua

Walilete monkey wakasema itatambua

Ah, cheza kama wewe yoh

Mi hucheza na mambwegze

Cheza juu ya genje

Sichezagi na hio rende

Mi hucheza na mangwete

Huskii we

(Bad man ting!)

Tunapendaga wote color ya Akothee

Na Zari, hatujali

Ndo watu wasinyonge, eh

Maji maji ka sauce ya mwitu

Chini ya maji ka blink ya mchinku

Alinona ju alishiba na ma p2

Piga waya ka pad ya ps2

Ebu mwambie kwanza aspell Teletubbies

Ama anajua tu smell ya Cannabis

French kiss mpaka tujipate Paris

Waganis, waganis si ni mayardis

Mi nina mafans mpaka bonde Marsabit

Na mapilot na iwake ndani ya cockpit

Mi si bigfish mi ni Sea-lion

Badmind Babylon Heart Zion

Supper supper haiwezi miss nyama (nyama)

Makaa makaa bekali si nyanya (nyanya)

Na Jamaica ni makoro si Corona

Na mambichwa naziseti kwa keroma

Na sijali ka unasema mi nachoma

Ju nachoma mpaka nifike Barcelona!

Mais de Trio Mio/Mejja

Ver todaslogo