menu-iconlogo
huatong
huatong
wakadinali-sitafadhali-cover-image

Sitafadhali

Wakadinalihuatong
partiza5huatong
Letra
Gravações
Nimeroll na kibenz tamashani

Straight hadharani, mresh ka zamani

Gwash flani venye wako sexy mamami

Na kushake stakabadhi

Hali seist tafadhali

Nimeroll na kibenz tamashani

Straight hadharani, mresh ka zamani

Gwash flani venye wako sexy mamami

Na kushake stakabadhi

Hali seist tafadhali aah

Yeah, Mkadinali mi huwanga wera tu Hakina happy birthday nishai zoza

2-4-7 till feb 29th, watajuaje Munga sina zodiac

Crime daily sina mass following

Fuck Diamond, hizo love song

Si ndio machozi watakudry-dry, tumerudi kama waizi wa motobike

Hivi ndio venye mi hudunda, klabu na ndenga Mombasa kuchuda

Swaga balaa navyo dunga, hadi watu wa Mungu huchocha secret ni dumba

Straight makilo finesse, watajuaje bazenga ako ndani ya nyumba

Wife material my ass, cheki ratchet

Anapretend na ni kuga

Man mtaa mi ni hood rich, Mike Sonko bila hand outs

Nikiraukanga huski ni uji

Sababu lunch ni ndogogis tu na handas

Ndio ujue za boychild zisharunda

Kwetu hutarget mtoto wa kike na kigunga

Gang banging hapa, Nairo sikuhizi gang lane ndio mtaa

Nimeroll na kibenz tamashani

Straight hadharani, mresh ka zamani

Gwash flani venye wako sexy mamami

Na kushake stakabadhi

Hali seist tafadhali

Nimeroll na kibenz tamashani

Straight hadharani, mresh ka zamani

Gwash flani venye wako sexy mamami

Na kushake stakabadhi

Hali seist tafadhali aah

Nimeroll na kibenz tamashani nakiset hadharani

Dunga vest 'pana shari, Munga race kana salim

Mkunywa pills na makali

Nina Prisca na Zari, wanawhisper kwa umbali

Ati please ka ni kadi

Hizo biz ka ni funny, mimi siko hio kazi

Ya ku breeze kanisani ulijisifu waziwazi

Wana insists 'kadinali keep it simple

Hii ni mbogi ya kublaze hadi morning

Zigizigi

Aai, sijai tense kama kuna ngori nacool

Thug face wrong rende ni ya ma gorilla tu

One take ki Mark mende nina holy per crew

Haiwes make ka kuweka nyama pori kwa zoo

Nimeroll na kibenz tamashani

Straight hadharani, mresh ka zamani

Gwash flani venye wako sexy mamami

Na kushake stakabadhi

Hali seist tafadhali

Nimeroll na kibenz tamashani

Straight hadharani, mresh ka zamani

Gwash flani venye wako sexy mamami

Na kushake stakabadhi

Hali seist tafadhali aah

Nimeroll na kibenz tamashani

Straight hadharani, mresh ka zamani

Gwash flani venye wako sexy mamami

Na kushake stakabadhi

Hali seist tafadhali

Nimeroll na kibenz tamashani

Straight hadharani, mresh ka zamani

Gwash flani venye wako sexy mamami

Na kushake stakabadhi

Hali seist tafadhali aah

Mais de Wakadinali

Ver todaslogo