menu-iconlogo
logo

Washa (feat. Nyashinski)

logo
Тексты
Yoo

Shika moja shika mbili shika now

Shika tatu mengine achana nayo

Kuna wale wapenda habari zao

Hao hao achana nao

Acha wacha now, wacha wacha now

Toa habari zetu kubwa faida yao

Wakileta neno, waambie mwisho wao

Huu ndo mwisho wao, ukumbusho wao

Kwani we ndo Alpha na Omeha wow

Usishindane spidi na baiskeli ya mbao

Walinipa mwanya nikapiga bao

Nishapiga bao, nikashusha bao

Washa moto, washa kitu washa (Washa)

Hater nipe nao mi nataka (Washa)

Hata kama lumboto nishapata (Washa)

Washa nao (Washa) wachape nao (Washa)

Washa moto, washa kitu washa (Washa)

Hater nipe nao mi nataka (Washa)

Hata kama lumboto nishapata (Washa)

Washa nao (Washa) wachape nao (Washa)

Washa moto usiogope

Wanazeeka wengine wakizaliwa

Wakutusema hawaishi na

Hamna yeyote wa kusimamisha majaliwa

Na say majaaliwa yeah yeah

Morale iko juu, pia glass weka juu

Na hii hata si ya sikukuu ni kawaida

Na mission itaisha nikijua

Nimelisha wajukuu wa wajukuu

Ndio maana nahustle kukushinda

Wakiskia na ball wasiconfuse mimba

Eh nani najua unajiuliza, nani kama huyu ninja

Ni kama nikiongezewa mtama

Wanaongezewa tamaa

Nimewaonea kwa mbali sana

Naomba msamaha ka nakaa kama sijali

Ni kama nikiongezewa mtama

Wanaongezewa tamaa

Nimewaonea kwa mbali sana

Naomba msamaha ka nakaa kama sijali

Washa moto, washa kitu washa (Washa)

Hater nipe nao mi nataka (Washa)

Hata kama lumboto nishapata (Washa)

Washa nao (Washa) wachape nao (Washa)

Washa moto, washa kitu washa (Washa)

Hater nipe nao mi nataka (Washa)

Hata kama lumboto nishapata (Washa)

Washa nao (Washa) wachape nao (Washa)