Ni ndoto ngapi za today
Maono mengi on your way
Ni ndoto ngapi msela
Ni ndoto ngapi za today
Maono mengi on your way
Ni ndoto ngapi nauliza
Leo kama jana , moyoni umejaza lawama
Leo kama jana wanakucheka eti we fukara
Leo kama jana , moyoni umejaza lawama
Leo kama jana wanakucheka eti we fukara
Ebu sukuma ukikwama
Jitahidi kinyama
Juu utakuja shinda wee
Ebu sukuma ukikwama
Jitahidi kinyama
Juu utakuja shinda wee
Kuchu-kuchu-kuchu chu mtima (ah kaza roho mama)
Kuchu-kuchu-kuchu chu mtima (ah jua utakuja shinda)
Kuchu-kuchu-kuchu chu mtima (ah kaza roho baba)
Kuchu-kuchu-kuchu chu mtima(mungu anawaza mema)
Who di pan destruction pan di road
Nuff path hole such a bad road
Jah Jah help me focus on mi goal
Father make me grow mi heart, mind and soul
Ntajitahidi ju inastahili nitimize lengo langu kamili
Let me pray to mi father wit mi hotline
Dem a put mi pan di place, frontline
Ebu sukuma ukikwama
Jitahidi kinyama
Juu utakuja shinda wee
Ebu sukuma ukikwama
Jitahidi kinyama
Juu utakuja shinda wee
Kuchu-kuchu-kuchu chu mtima (ah kaza roho mama)
Kuchu-kuchu-kuchu chu mtima (ah jua utakuja shinda)
Kuchu-kuchu-kuchu chu mtima (ah kaza roho baba)
Kuchu-kuchu-kuchu chu mtima(mungu anawaza mema)
Kuchu kuchu , nilikua tupu tupu
Ngumu nilikosa hadi njumu
King kaka usema na Bahati, nimeangukia deal ngapi
Wanashangaa natoka Eastside, nawashow God alishadecide
Manchi ngapi nimetambaa ju nimejikaza kaa kamba
Nikianza nilikua mgreen ka ovacado, na mungu mambo bado
Wanirushe walafi hao, ka Juli who is laughing now
Ebu sukuma ukikwama
Jitahidi kinyama
Juu utakuja shinda wee
Ebu sukuma ukikwama
Jitahidi kinyama
Juu utakuja shinda wee
Kuchu-kuchu-kuchu chu mtima (ah kaza roho mama)
Kuchu-kuchu-kuchu chu mtima (ah jua utakuja shinda)
Kuchu-kuchu-kuchu chu mtima (ah kaza roho baba)
Kuchu-kuchu-kuchu chu mtima(mungu anawaza mema)
Yani leo eh, nakua tu ndio real yani
Ni simple eh
We panga , Mungu atadecide
Lakini si kupanga tu
Lazima uamke lazima uende ukafanye A,B,Chadi ifike kwa God manze
So this is from sisi to wewe
Its your time
Ni time yako manze, g
Get up Mungu anawaza mema manze