Willy oh willy oh willy
Anataka milly milly milly
Akulange lizzy lizzy lizzy
Na sio chocha na sio chocha
Willy oh willy oh willy
Anataka milly milly milly
Akulange lizzy lizzy lizzy
Na sio chocha na sio chocha
Naitwa Lilly ametoka milly
Anapenda ndizi ndio tufike hilly
Ebu kwanza delete, basi we kunywa mbili
Tot mbili mbili, ndio tufike hadi milly
Tufike hadi saba, kusababisha tuchore hadi saba
Kidogo kidogo harakisha
Kwanza ndio tupike supper
Kako na haraka kama ya makanga
Willy oh willy oh willy
Anataka milly milly milly
Akulange lizzy lizzy lizzy
Na sio chocha na sio chocha
Willy oh willy oh willy
Anataka milly milly milly
Akulange lizzy lizzy lizzy
Na sio chocha na sio chocha
Ah Willy willy willy unanitaka mimi mimi mimi
Hivi uko sure uko fiti fiti fiti
Nakuja getto speed speed speed
Unataka kunidinya willy
Nitakupa style za ki Angelina jolly
Nikikupea ufanye poa mi staki story
Siunajuaga nyama mi ndo najaza mtorii ahh
Willy oh willy oh willy
Anataka milly milly milly
Akulange lizzy lizzy lizzy
Na sio chocha na sio chocha
Willy oh willy oh willy
Anataka milly milly milly
Akulange lizzy lizzy lizzy
Na sio chocha na sio chocha
Nimetuma nauli na Kamanzi hakako okay
Kakitaka pesa matumizi kwangu k
Siezi kufa na ugwad unasema ntajichua
Nilivyojikapania na mpango utapakia
Ah kifo cha mende ama mbuzi kagoma
Kakapelekea moto na maji ikate tamaa
Na vile najijua mi ni dudu washa washa
Ntampelekea moto kote anapowashwa
Willy oh willy oh willy
Anataka milly milly milly
Akulange lizzy lizzy lizzy
Na sio chocha na sio chocha
Willy oh willy oh willy
Anataka milly milly milly
Akulange lizzy lizzy lizzy
Na sio chocha na sio chocha