menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Anthem of The Savannah

Genshin Impact/HOYO-MiXhuatong
ᵒⁿⁱᶜ☂️Elainahuatong
Тексты
Записи
Instrumental Intro

Pre-Chorus

Shujaa

Chorus

Unasafirini kwa matakwa ya watu wako

Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa

Mwishowe mnaungueni tena majivuni

Mwishowe mnaungueni tena majivuni

Verse 1

Ukuu ukuu

Kwa wanao ona yajayo

Tutaimba wimbo wa mwanga moto

Usiku wa giza (Mwanga na moto wetu)

Instrumental Interlude

Verse 2

Matakwa ya watu wako

Unachagua vita kwa jina la

Shujaa mwishowe unaungua kwa ajili ya ndoto

Mwishowe unaungua tena majivuni

Chorus

Unasafirini kwa matakwa ya watu wako

Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa

Mwishowe unaungua moto kwa ajili ya ndoto

Mwishowe unaungua tena majivuni

Unasafirini kwa matakwa ya watu wako

Mnachagueni vita kwa majina ya shujaa

Mwishowe unaungua moto kwa ajili ya ndoto

Mwishowe unaungua tena majivuni

Outro

Utukufu

A shujaa

Geuka kama alfajiri

Еще от Genshin Impact/HOYO-MiX

Смотреть всеlogo
Anthem of The Savannah от Genshin Impact/HOYO-MiX - Тексты & Каверы