Mmh Aah ft Breeder Lw, Kappa
(Beats)
Bazenga
Mayenga
Mmh Aaah ×4
Mavo on the beat
Aaah moto kama pasi
Kama gas cooker
Siwashi moshi mingi siwezi pumua
Mbogi ni ya wajanja ni ya masungura
Nishasuka msupa nipe mmh aah ×9
Mkulima panda mbegu hajisahau jina
Cologne ni ya kishash vuta utaririma
Kichwa tu anatetemeka ni kama amepigwa stima
Chimba Chimba bora asipate mimba
Mbadigida
Crush wake Leo si anadhigidhwa
Dhigidhwa ×2
Bam chikicha
Si ulikua na ganja but who is laughing now mmh
Mmh
Gal hu deserve me hukua goon
Sai mih ukafunga aty ni sha tycoon
Tu scoop kwanza ama sitaitisha ball
Time kuchezana sina ju sina watch
Aaah
Moto kama pasi kama gas cooker
Siwashi moshi mingi siwezi pumuaaa
Mbogi ni ya wajanja ni ya masungura
Nishasuka msupa nipe mmh aah ×9
Itabidi amekubali kijana anashika dooh
Kijana Jo ako fiti anaskianga vitu effency
Kudishiwa na dogi na mbogi flani ngori na pongi
Imekasirika ati haitaki vitu mingi zikona
Madoido
Ju kwa molo skuizi naskiaga akona tu maringo
Aty Munira ma blogger kwa single
Kwa mbulu unatumatisha shoti ukija uki jiggle
Bila nyonginyo shoti ushatia kaki jo
Napenda majegi zinatoa ma nipple
Cheki Leo jo nawapigia mbwenya
Natingiza madredi na si nawang'ora tena
Aah moto kama pasi
Kama gas cooker
Siwashi moshi mingi siwezi pumua
Mbogi ni ya wajanja ni ya masungura
Nishasuka msupa nipe mmh aah ×9
Bazenga
Nipe mmh aah
Luku all white kula black yaani zebra
Koki times sixty napanda seska
Piga ata saluti na utii ni ki enter
Nikifanya Jan jua ntaifanya December
Aaah
Si una ji kill na kivodo sija chase
Staki pongi ka haja shave
Ka ni busy ufike bei
VIP ndo niko na maintain
Mali safi iende chain
Mih huezi nipata niki mblein
Mmh aah ×2
Msupa utakumbwa
Mm nta sultan
Teka na juja leo kesho hadi kesho kutwa
Kitu nono ndefu
Msupa utastuka
Aah moto kama pasi
Kama gas cooker
Siwashi moshi mingi siwezi pumua
Mbogi ni ya wajanja ni ya masungura
Nishasuka msupa nipe mmh aah ×9
(Beats)