menu-iconlogo
huatong
huatong
itsyabah-art-the-band-sabuni-ya-roho-cover-image

Sabuni Ya Roho

ItsYaba/H_ART THE BANDhuatong
readinthemailhuatong
Тексты
Записи
Roooo oh oh oh

Alright

H_art the band

Yaba

Dillie

Lets go

Zitakazopendwa

Chief!

Toto with a big bunda (big bunda)

High class shombo with a big thutha (biggie)

Anajua nani ndio the real buda (dzaddy)

Nimekalock nime key funga (funga funga)

Usichape dry, ongeza chaser

Kanairo huwezi washika bila pesa (ching ching)

Watakudeny, watakutesa

Sabuni ya roho huwa ni pesa (ching)

Wabebe wabebe

Ambia mbleina apunguze mapepe

Dj cheza rhumba na reggea

Tuko kimoja kama mbogi ya senke

Sabuni ya roho (oh oh)

Huwa ni pesa

Roho (oh oh)

Huwa ni pesa

Sabuni ya roho (oh oh)

Huwa ni pesa

Roho (oh oh)

Huwa ni pesa

Embe dodo embe dodo

Limelala mchangani

Wape kisogo bila samahani

Ma cherie kimoko

Wengi watazidi kutusema sema

Watakiona cha mtema kuni

Wameze vidonge vyao

Washaniaku kwa bakuli

Alama ya mshangao

Walidhani si wahuni

Kumbe ni si tunawarudisha skuli

Usichape, dry ongeza chaser

Kanairo huwezi washika bila pesa

Watakudeny watakutesa

Sabuni ya roho huwa ni pesa

Sabuni ya roho (oh oh)

Huwa ni pesa

Roho (oh oh)

Huwa ni pesa

Sabuni ya roho (oh oh)

Huwa ni pesa

Roho (oh oh)

Huwa ni pesa

So kama ni bomb life

Usikae sober mandem more life

Piga sherehe mpaka uzone high

Urauke ngware ucheki sunrise

Unaeza patana na mpenzi wa mtu mkapendana

Uzuri ya kutu haitambui usiku, mchana

Unaweza pendwa, upendeke ama utokwe bana

Na hio ndio life

Usichape dry, ongeza chaser

Kanairo huwezi washika bila pesa

Watakudeny watakutesa

Sabuni ya roho huwa ni pesa

Sabuni ya roho (oh oh)

Huwa ni pesa

Roho (oh oh)

Huwa ni pesa

Sabuni ya roho (oh oh)

Huwa ni pesa

Roho (oh oh)

Huwa ni pesa

Еще от ItsYaba/H_ART THE BAND

Смотреть всеlogo