menu-iconlogo
huatong
huatong
Тексты
Записи
Kelsteppah

Enemy i see 130 above

Reprsenting

016

Mzinga nikikunywa yunibamba

Mzinga si ni Gil nikimix na kifanta

Mzinga ilinifanya nifanye kitu nataka

Kazi kuroroa tukiteka wasichana

Mzinga nikikunywa yunibamba

Mzinga si ni Gil nikimix na kifanta

Mzinga ilinifanya nifanye kitu nataka

Kazi kuroroa tukiteka wasichana

Mavela mawhiskey n makonyagi pia

Kama kawa wikendi sababisha

Neutraliser yani siz wa kanisa

Manna YG kingpin adisia

First of all hiyo mbogi joh n gani

Mbogi rong inateka vitu rong bana

Scar alidai ketepa inaitisha reggea

So me nadai mzinga inaitishanga genge

Flow za kidaddy flow za wajanja

Waiter sababisha na ukam na risiti

016 tunapita tukimada

Mzinga ilifanya niteke Shiro na Njoki

Nikirecieve nikipuff nikipuff nikirecieve

Niko promise land

Usikam makejani my location ni bar

Ai ai ai My location ni bar

My location ni bar

Mzinga nikikunywa yunibamba

Mzinga si ni Gil nikimix na kifanta

Mzinga ilinifanya nifanye kitu nataka

Kazi kuroroa tukiteka wasichana

Mzinga nikikunywa yunibamba

Mzinga si ni Gil nikimix na kifanta

Mzinga ilinifanya nifanye kitu nataka

Kazi kuroroa tukiteka wasichana

Mzinga si ya mabunny

Hapa ni magwiji

Kam twende bukla tukapige mbili

Acha tub pupa zangu ni manigri

Mzinga ni machang'li ama tu fiti

Mix na makali uskie tu mavitu

Kaa huna mali uone majitu

Kwa majina ni flani mzinga nahitaji

Uspige hizo cladi kaa huna ganji

Mzinga ni utiaji kwa wale warazi

Waumbao taxin mzinga kaa atkings

Hapa hakuna faking buy hizo kali

Hapa hakuna faking buy hizo kali

Doh ganji kusere na maarif

Luku kaa ni kali round 2 itakubali

Napenda ukiwine bila dera na suruali

Mzinga ndasu ICE tukimedi n mamanzi

Konyagi joh na beer ndio vitu nimekufia

Na zangu zikishika niuwakulia kwa njia

Yoh Adisia tushike mbili za mia

Na kuangamia ndio sijai fikiria

Zigi kaa ni zogo tunafight adi moro

Zii siko washa shash utoe moto

Washa shash toe moto

Washa shash utoe moto

Mzinga nikikunywa yunibamba

Mzinga si ni Gil nikimix na kifanta

Mzinga ilinifanya nifanye kitu nataka

Kazi kuroroa tukiteka wasichana

Mzinga nikikunywa yunibamba

Mzinga si ni Gil nikimix na kifanta

Mzinga ilinifanya nifanye kitu nataka

Kazi kuroroa tukiteka wasichana

Yunibamba

Nakifanta

Nataka

Wasichana

Yunibamba

Nakifanta

Nataka

Wasichana