menu-iconlogo
huatong
huatong
mbogi-genjekushman-fukuru-cover-image

Fukuru

Mbogi Genje/Kushmanhuatong
showdoknighthuatong
Тексты
Записи
Bm music

Gills on the beat

Sq on the beat

Sijui ni chingri ama ndukulu

Nadhani nasuka keki kumbe joh ni fukuru

Sijui ni chingri ama ndukulu

Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru

Ju ya mukuchu, zidi sana futuku

Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe jo ni fukuru)

Ju ya mukuchu, zidi sana futuku (zidi sana)

Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe ni fukuru)

Siezi kabelieve kumeanza kugeuka za kidemableach

Ukiziang rima nguya kibre nimaglitch

Inademia mangetheka kudaruka clit

Naeza kudelete ata vile uko lit

Juzi Sunday kwanza ulinipiga thande

Sema stress, niko zabe nikimochoa mrambe

Nashinda hustle colo colo unanibeba gabe

Na vile nilikundape unanitoka juu ya pake

Nasunda adi mareka mandaki unanitape

Na mi ni odinare umeona ulinki na madancey

Nishatia rose sidaizaski anything unasay

Na kabla hujaziang acha nijitise blaze

Ukifuck around, ukifuck around

Siezi kakuround chuom ukifuck around

Ukifuck around, ukifuck around

Siezi kakuround chuom ukifuck around

Sijui ni chingri ama ni ndukulu

Nadhani nasuka keki kumbe ni fukuru

Sijui ni chingri ama ni ndukulu

Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru

Ju ya mukuchu, zidi sana futuku

Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe jo ni fukuru)

Ju ya mukuchu, zidi sana futuku (zidi sana)

Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe ni fukuru)

Fukuru unafaa kumbumbrush

Huanga ndo unangape inna dis ya time

Juzi nilikuliet sai unaregret

Nilishakufiget hizo enzi za kuriet

Ndukilize ukistep bwaku bwaku

Bumbu kwenyu unaeza zidi sana

Romour so spread ka kitanda

Romour so spread

Tupise, na mademise umechapa za kitululu

Umedownfall umedunda pungulu

Zidi futuku we ni makututu

Bududum na si eti nina ngurunyu

Sijui ni chingri ama ndukulu

Nadhani nasuka keki kumbe ni fukuru

Sijui ni chingri ama ndukulu

Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru

Ju ya mukuchu, zidi sana futuku

Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe jo ni fukuru)

Ju ya mukuchu, zidi sana futuku (zidi sana)

Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe ni fukuru)

Utadhani niko tifi

Kumbe zangu zilishika kitambooo sana

Nishashikwa na homa ya kina Mwangi

Kutumia senke kukatia mangwangi

Mi hupiga sherehe disco matanga

Nachipo mafukuru ka donda wa manyanga

Fukuru tulia acha kucheka

Nikupige mate ka barua ju umejileta

We ni kienyeji na unajidai buda

Kumbuka mrenda haiezi geuka skuma

Mafukuru disaster wanakulakula fare

Hadi mafare za mapastor

Ruchepe umendape mukuchu

Giz genje uko soko ukiwakashi chweza chweza

Wiki jas umerienga na wachweza uchsharu

We si kwela we ni mrota hadi kwa ndoto si inzagi (si inzagi)

Bana nane unagawa nimegwaya (nimegwaya)

Macho utatu unablink porikoya (porikoya)

Ombita za mabani umekashi (umekashi)

Juzilize ulitepwa na mang'oi

Usingói we ni fukuru hadi furu

Wa kutekwa na ginimbi na manyaru zimewaka

Wanakuriau kama ndunya unapree lamboghini

Na hio ngipo inatiespa unakam kuwa ndonyo

Utariau malagunya umezungusha kama mamba

Kila yout amendapa wa kukanja na wa vako

Additicha amekuriau bila nginyo haezi rojo

Umesteady kibabanga kuliko mtu wa warena

Sijui ni chingri ama ndukulu

Nadhani nasuka keki kumbe ni fukuru (kumbe ni fukuru)

Sijui ni chingri ama ndukulu (aai bambi)

Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe ni fukuru)

Ju ya mukuchu, zidi sana futuku

Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe jo ni fukuru)

Ju ya mukuchu, zidi sana futuku (zidi sana)

Nadhani nasuka keki kumbe jo ni fukuru (kumbe ni fukuru)

Еще от Mbogi Genje/Kushman

Смотреть всеlogo