menu-iconlogo
huatong
huatong
เนื้อเพลง
บันทึก
It′s Rostam baby

Eee ee ah

Wamemchokoza Bea (wooh)

Hahahah (ooh)

Yes (ooh yeah)

Umepewa nywele sasa weaving wig la nini

Ntashindwa mimi hii ligi ya umaskini

Nyoa hata para upunguze hela ya mafuta

Au panki ka chotara wa kinyakyusa mamushka

Na hayo macho ulipewa unione mimi tu

Kitu ambacho am so proud of you

Amini kwamba sitoruhusu uyamwage machozi

Kama namba we ni tisa mi ni sita yes of course

Na am pretty sure kama msomali au poor

Ngejengwa na tofali ngeendelea kuyafyatua

Mungu ni fundi na nusu kakupa mashavu soft

Ya kupiga mabusu sio ya kupiga makofi

Na hilo sikio ulilopewa usilitoboe toboe bibie

Mwisho utaitoboa ngoma hadi mumeo usinisikie

Na hayo meno yasining'ate

Mdomo uninyonye nidate

Ulimi unilambe aste aste

Na moyo wako nifate

Nifanye kama nipo peke yangu dunia nzima

Usinifanye kama your ex boyfriend

Uko mikono salama kwenda kwa wazazi lazima

Nakupa vyeo makuruta wanyooke

Sifa zote unazo kichwani mpaka unyayo

Umepewa utajiri wa urembo wa asili

Tumia tumia tumia tumia mama

Tumia tumia tumia tumia eeeh

Hiyo shingo ulopewa sio ya kuvalia mikufu

Ni vyema ukavaa tasbihi ama rozari tukufu

Please usipende kuwaunga mikono mashoga

Maana hiyo mikono umepewa kuungia mboga

Kifuani chuchu dede mpaka sijui ni saa ngapi

Mama umepewa maziwa watoto wavulie samaki

Umepewa tumbo ili tujaze dunia

Sio la kulia kiepe nyamachoma wala bia

Kuna sehemu umepewa sio lazima kuitaja

Mungu bwana kaificha kati kati ya mapaja

Mmh tsk! Mi mwafrika watu weupe nawachukiaga

So nkibeba wazungu naonaga bora kuwamwaga

Hicho kiuno ulichopewa sio cha kuchezea baikoko

Bali tukiwa chumbani uno feni fifi moko

Hukupewa paja na miguu uvae vikuku na vimini

Maana utanipa tabu ya kupambana na wanaopenda chini

Nifanye kama nipo peke yangu dunia nzima

Usinifanye kama your ex boyfriend

Uko mikono salama kwenda kwa wazazi lazima

Nakupa vyeo makuruta wanyooke

Sifa zote unazo kichwani mpaka unyayo

Umepewa utajiri wa urembo wa asili

Tumia tumia tumia tumia mama

Tumia tumia tumia tumia eeeh

Sauti hiyo ya kuniita

Mwendo huo wa kunifuata

Kucha hizo za kunishika mamaa

Tujenge ngome nawe (nawe)

Isivunjike kamwe (kamwe)

Pamoja mi na wewe (wewe)

Yeeeeeah

Sifa zote unazo kichwani mpaka unyayo

Umepewa utajiri wa urembo wa asili

Tumia tumia tumia tumia mama

Tumia tumia tumia tumia eeeh

Heeeeh he eeah

Heey yeah

Ooh oh no

Oh yeah

Let′s take over the game

เพิ่มเติมจาก Rostam/Ben Pol

ดูทั้งหมดlogo