Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike
Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike
Sintokusahau maishani baba yangu
Umenielimisha rekebisha kanipa mawaidha
Baisikeli kanipandisha
Nguo za kifahari kanivalisha
Nayo majuto ni mjukuu
Tega sikio usiseme I wish I knew
Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike
Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike
Huuuuuuuu baba heiiii
Desturi na mila umenifundisha
Kulinda familia aaaaahhhhhh
Kuheshimu bibilia bibilia kabisa
Kumtunza malkia maaaaaama
Mtu mwenye heshima na kila hekima
Mfano mwema aaaaaaahhhh
Kwa kupanda na kulima umenishughulikia
Mfano mwema babaaaaaaaa
Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike
Baba baba baba baba
Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike
Aaaaaaaaaaaaaaaaa
Aaaaaaaaaaaaaaaaa
Aaaaaaaaaaaaaaaaa
Uuuuuuuuuuuuuuu
Uuuuuuuuuuuuuuu
Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike
Asante sana baba yangu
Umenipa mafunzo ya ajabu
Kunifunza kweli ni taabu
Nafanya kazi usiaibike
Aaaa asante
Daddy ooooh
Dadddy ooododoooe
Wewe ni baba
Daddy ooooh
Wewe ni baba
Wewe ni baba yangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba yangu
Wewe ni baba
Wewe ni baba weweeee
Wewe ni baba yangu
Wewe uweiyeiye
Wewe ni baba
Wewe weweeee
Wewe ni daddy daddy daddy daddy daddy daddy
Wewe ni baba