Nairobi nairobi
Nairobi nairobi
Nairobi nairobi
Nairobi
Jua limewaka nairobi
Kuna solar sana eeh
Warembo wamedunga nairobi
Noma sana na
Majambaz wako macho
Wakichora mchoro na
Kasisi ahubiri in the city
Nairobi kuna solar sana
Kijijini nikupoa sana
Nairobi kuna solar sana
Kijijini nikupoa sana
You are my speciality
Like miss congeniality
All up in my life
Making my days days
So alive
I'm so alive yeah
So alive
I'm so alive
Nairobi kuna solar sana
Kijijini nikupoa sana
Nairobi kuna solar sana
Kijijini nikupoa sana
Nairobi umejawa mambo mengi
Shilingi wahitaji nairobi
Hodi hodi nairobi lipa kodi
Kila siku ni hepi hepi hepi hepi
Nairobi kuna solar sana
Kijijini nikupoa sana
Nairobi kuna solar sana
Kijijini nikupoa sana
Sijaona jiji kama hili letu we
Kujivinjari kila siku ya wiki we
Eeeeeeh eeeeeh
Ni party wee ni party wee
Ni party wee ni party wee
Ni party wee ni party wee
Ni party wee ni party wee
Nairobi kuna solar sana
Kijijini nikupoa sana
Nairobi kuna solar sana
Kijijini nikupoa sana
Kuna solar sana
Kijijini nikupoa sana
Nairobi kuna solar sana
Kijijini nikupoa sana
Kuna solar sana
Kijijini nikupoa sana
Nairobi kuna solar sana
Kijijini nikupoa sana
Nairobi nairobi
Nairobi nairobi
Nairobi nairobi
Nairobi nikupoa sana
Nairobi
Kijijini nikupoa sana