menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

Mashallah

Boondocks Ganghuatong
mpower121huatong
Şarkı Sözleri
Kayıtlar
Odi Wa Muranga

Mshahara alama nachora kwa kipara

Kanja mkwanja ushuru ni maswara

Hanya kwara ndio upunguze hasira

Ilara mala situnadai maziwa

Mashallah

Inshallah

Mashallah

Inshallah

Exray

Nikona kabestie kengine kahoe

Kengine ka gold digger kaupenda madooh

Kengine ka sweet heart kauchezanga low

Mtu wake akimbo

Tunaifanyia kwa meza ama tunaifanyia kwa kiti

Vipi tunaifanyia kwa sitting

Ishiki tunaifanyia kwa meeting

Nimedungia ndege so tunaifanyia kwa miti

Na si haram ni halal

Sai nikilearn nijam

Karam sipo siku burn

Alarm mkate kwa blueband napaka na jam

Mshahara alama nachora kwa kipara

Kanja mkwanja ushuru ni maswara

Hanya kwara ndio upunguze hasira

Ilara mala situnadai maziwa

Mashallah

Inshallah

Mashallah

Inshallah

Odi Wa Muranga

Alinijenga harrier nkapeleka uko hire

Ndio ujue misipendangi hizo magari kupe

Kuna rapper anajifanya ati anajua kuroga

Na anasound ka rapper wa guadalupe

Kati ya benz ama bima ukiniuliza hakuna

Mi nataka tuh kubuy mini cooper

Kati ya benz ama bima ukiniuliza hakuna

Mi nataka tuh kubuy mini cooper

I say one to the left niite leftician

And two to the right niite rightician

Huku tunasweat kimathematician lakini main hustle yangu ni pedetrician

Mshahara alama nachora kwa kipara

Kanja mkwanja ushuru ni maswara

Hanya kwara ndio upunguze hasira

Ilara mala situnadai maziwa

Mashallah

Inshallah

Mashallah

Inshallah

Mashallah

Inshallah

Mashallah

Inshallah

Maddox

Inshallah mashallah tuko in peace

Staki macodein kuchanganya na hizi zinaweza fanya kwanza ukachizi

Unataka chaser ukimix na madin

Sharon alipatananga na ocpd

Faster kwanza kupata huko mascene

Weekendi mashallah kwanza tukimedi

(Eeh) kwanza tukimedi

Si vitu petty

Kupiga mboka adi daily

Si ni kiusensi

"F"for piga adi westin

Mshahara alama nachora kwa kipara

Kanja mkwanja ushuru ni maswara

Hanya kwara ndio upunguze hasira

Ilara mala situnadai maziwa

Mashallah

Inshallah

Mashallah

Inshallah

Boondocks Gang'dan Daha Fazlası

Tümünü Görlogo