menu-iconlogo
huatong
huatong
avatar

MALAIKA

Nyashinskihuatong
gerlingerlinhuatong
Şarkı Sözleri
Kayıtlar
Wuuu Huu huu, Yeyyeiyei

Wooohoa Nanana

Ooh, I love you baby

Uko na tabia za kupendeza roho

Tabasamu ya kupapasa macho

Sauti yako nikiskia pia natulia

yanipunguzia hasira nnazo

Urembo wako ulininasa roho

Siku ya kwanza kukuona kwa macho

Sa moyoni umekwamia siwezi kutania

njoo unipunguzie mawazo

And I feel you in my air when I breathe

I see you in my dreams when I sleep

You're the one I've been

waiting for all my life

Mmh, deep down in my heart I believe

Unanifeel nakufeel hii ni real

The one I've been

waiting for all my life

Chorus

Uko sawa na, wote malaika na mabawa yao

Wote wanakuiga we ndio mama yao

Ni wewe nachagua sisemi nao

Sisemi

Ooh baby uko sawa na,

wote malaika na mabawa yao

Wote wanakuiga we ndio Mama yao

Ni wewe nachagua sisemi

ooh sisemi oooh sisemi

Ooh I love you baby yeei

And even though I've

never been here before

Somehow I know that this is

how it feels to fall in love

Baby you know I love you,

I place no one above you,

I need you in my life forever and ever

you will always have my heart

we were meant to be together me and you

Oh me and you

Uko sawa na, wote malaika na mabawa yao

Wote wanakuiga we ndio mama yao

Ni wewe nachagua sisemi nao

Sisemi ooh baby uko sawa na,

wote malaika na mabawa yao

Wote wanakuiga we ndio Mama yao

Ni wewe nachagua sisemi

ooh sisemi

oo sisemi

Nyashinski'dan Daha Fazlası

Tümünü Görlogo