menu-iconlogo
logo

Nerea

logo
Şarkı Sözleri
Nakuomba Nerea

Usitoe mimba yangu, eeh

Mungu akileta mtoto analeta sahani yake

Mlete nitamlea

Usitoe mimba yangu eeh

Mungu akileta mtoto analeta sahani yake

Huenda akawa Obama, atawale America

Huenda akawa Lupita, Oscar nazo akashinda

Huenda akawa Wanyama, acheze soccer Uingereza

Huenda akawa Kenyatta, mwanzilishi wa taifa

Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu

Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake

Mlete nitamlea usitoe mimba yangu, eeh

Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake

(Nitamlea)

Huenda akawa Mathai, ailinde mazingira

Huenda akawa Makeba, nyimbo nzuri akatunga

Huenda akawa Nyerere, aongoze Tanzania

Huenda akawa Mandela, mkombozi wa Africa

Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu eeh

Mungu akileta mtoto analeta sahani yake

Mlete nitamlea usitoe mimba yangu

Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake

Nakuomba Nerea (Nerea)

Nerea (Nerea)

Nerea (Nerea)

Usitoe mimba yangu

Nerea

Nerea

Nerea

Usitoe mimba yangu

Huenda akawa Kagame, atawale

Jaramogi Odinga, tuungane

Huenda akawa Tom Mboya

Huenda akawa Rudisha

Huenda akawa malaika, Mungu ametupatia

Huenda akawa Sauti Sol

Huenda akawa Amos and Josh

Huenda akawa ah-ah-ah

Huenda akawa malaika, Mungu ametupatia

Sauti Sol/Amos/Josh, Nerea - Sözleri ve Coverları