menu-iconlogo
logo

Unajibu Maombi

logo
بول
Unajubu maombi

Unajibu maombi

Unajibu maombi

Nakuamini Bwana

Umesema ikiwa watu wako

Tulioitwa kwa jina lako

Tutajinyenyekesha na kuomba

Na kuziacha njia zetu mbaya

Unajibu Maombi بذریعہ Amon/Upendo Kilahiro - بول اور کور