Nisikize mtoto wa mama
Hivi unavyoniona
Ah mimi deno
Nimetoka na mbali sana
Mtoto wa mama
Hivi unavyoniona
Mimi Denno nimetoka na mbali sana
88 kangemi nikazaliwa, ah
Ata mwangaza sikuwahi kuja kuona
88 kangemi nikazaliwa, ah
Ata mwangaza sikuwahi kuja kuona
Story yangu
Ni story yangu
Ebu rafiki nipe sikio
Me nataka simulia
Story yangu
Ni story yangu
Ebu rafiki nipe sikio
Me nataka simulia
Najua uchungu
Maswali mengi kwako moyoni
Kwa nini mola iwe hivi
Kwa nini mola iwe mimi
Najua uchungu na mimi haunioni
Niko na rasta lakini mboni
Imefungika wapewa story
99 mama alipoondoka
Sikiza nikupe story
Kumbuka ghetto ni ngori
99 baba akanitoka
Sana ikawa machozi
Mchanga na sijiwezi
Maisha kung'ang'ana nikaona siwezi
Ndoto zangu nikatupa mbali
Ila leo niko mahali
Maisha kung'ang'ana nikaona siwezi
Kumbe mungu aliona mbali
Ivyo mziki amenipa mimi
Story yangu
Ni story yangu
Ebu rafiki nipe sikio
Me nataka simulia
Story yangu,
Ni story yangu
Ebu rafiki nipe sikio
Me nataka simulia
Nasema mungu ni mwema
Stori zimebadilika
Leo hii tunaimba wanabarikiwa
Story yangu
Ni story yangu
Ebu rafiki nipe sikio
Me nataka simulia
Story yangu
Ni story yangu
Ebu rafiki nipe sikio
Me nataka simulia
Story yangu
Ni story yangu
Ebu rafiki nipe sikio
Me nataka simulia
Story yangu
Ni story yangu
Ebu rafiki nipe sikio
Me nataka simulia