Tireh ndaksus na kanyamoo
Pira ni tamu na ndranya mbrich
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni zoeea, zoeaa
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea,zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea zoeea
Tireh ndaksus na kanyamoo
Pira ni tamu na ndranya mbrich
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni zoeea, zoeaa
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea,zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea
Leta ujinga tubeef for real
I'm not vegan I'm gluten-free
Mi si mjeuri ati Guten Morgan
Kutwa mornging mi mjeuri
Inzagi goshodo huku Balaluu
Ishidi mastingo kama waru
Gun imelandia tusupuu
Bangi imelandi matawi ya juu
I'm sorry ile last time
Kweli nilikukosea but it will happen again
Chocha ye mrasa mbona alipotea?
Bahati tu manze ju angemblein
Story ingekua disaster
Habari ya kujikojolea, lia lia
Fikiria, complain, meno 32 and then umeintain
Burushwa Kanairo must unaimunch
Ama utanyonywa damu kama Onyanch
Story za ovyo, mi huwanga na branch
Mwanaume, hufai kukula launch
Watch mziki ni bizna, we, ndo inanilipa
Album stray ni bitter, tunawagandamiza
Niko daily mboka niko mzozo
Sispendingi ati zile za unyonge
Mdenge kama ni bonzo
Ni mshiet, ni shondo
Domani vako za mavoglo
Mapenzi acha hapo njeh
Dem akinona ovyo ovyo
Mpee simu apitie akonde
Tireh ndaksus na kanyamoo
Pira ni tamu na ndranya mbrich
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni zoeea, zoeaa
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea,zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea zoeea
Tireh ndaksus na kanyamoo
Pira ni tamu na ndranya mbrich
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni zoeea, zoeaa
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea,zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea
Si hatutoki na tunaharibu (zoeea)
Nikuje na doskii ama ni akimu (zoeea)
Msupa wako akiwa na mimi anazima simu (zoeea)
Kivela lazima kiwake hata kiwe illegal (zoeea)
Ukiskia bro amenikamia home
Jua hio form ni erokamano
Msupa mbona una haga bigi
Na hauna ganji umekalia doh
Muite "ksss kss", kamia fom
Tei ni zote mchanganyo
Tire ndaksus na kanyamo
Hataki umdishi we ni kama bro
Jaba fresh kariokor
Mkwanjah cash hapana joke
Anatext text, flash, text, text, flash Block!
Kwani tunaulizana?
Bei ya ngataa inaumiza mans
Bado wanachocha mavijanaa
Hawabongi whenever scar is around
Vibare, hatuwezi reason nao
Maforeign washaga hizo loud
Ndai stolen, bitch ni wa colle
Wanadai muone ashaga tupa mbao
Itanikinda na aroma inatupa
Tire anchimba inanichoma makucha
Kusoma unasoma unatokea Juja
Unachoma unachoma unapoteza future
Tireh ndaksus na kanyamoo
Pira ni tamu na ndranya mbrich
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni zoeea, zoeaa
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea,zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea zoeea
Tireh ndaksus na kanyamoo
Pira ni tamu na ndranya mbrich
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni zoeea, zoeaa
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea,zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea
Allow me kwanza nijiintroduce
Loudest kushinda pastor Kush
Essence aliona burning bush
Kumbe ni mwere anaiva kistuch
Si ndo tulimndasus kwa boot
Managerr managerr managerr my foot
East joh imejaza maggons
Watokee na senke matokeo utashtuka
Too bad huwezi nijua
Too bad mpaka unabuya
"Who's that?", mwambie ni Sewer
Giz jana kuliwaka mvua
Generation yao ni ya sheesha
Unawacompare na si wa kuvuva
Umeshinda ukinitoanisha
Sijui za fare na sijai kukula
Naserve tea asubui
Kuna watu hawaezi ishi bila rumor
Kwani hamcheki funny
Venye nyi hamna sense of humor
Vumilia kaa inakuuma
Kuma isikufanye mtumwa
Train ya drill hapa si Boomba
Vegan nilienda Fullham
Samo ya street piga tapo
'Sionyeshe keja labda lojo
Momo ametoka Pango
Ambieni corprol nimeramo
Yo, mofo toka form four
Aha, yo, mofo toka f-
Tireh ndaksus na kanyamoo
Pira ni tamu na ndranya mbrich
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni zoeea, zoeaa
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea,zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea zoeea
Tireh ndaksus na kanyamoo
Pira ni tamu na ndranya mbrich
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni zoeea, zoeaa
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea,zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea
Tireh ndaksus na kanyamoo
Pira ni tamu na ndranya mbrich
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni zoeea, zoeaa
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea,zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea
Tireh ndaksus na kanyamoo
Pira ni tamu na ndranya mbrich
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni zoeea, zoeaa
Ukichachisha mbogi itapotea (Zoeea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea