menu-iconlogo
logo

Mwana

logo
Lời Bài Hát
Mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza

Ona babio mamio wote wanakulilia

Mtoto peke yako nyumbani kipi kimekukimbiza

Ona babio mamio wote wanakulilia

Ndani ya Dar es Salaame Ulikuja bure

Tena kimwana kimwana hujui Kuchuna

Nazile lawama za wale waliokuzoweza

Ulikuja jana na leo tofauti sana

Tena Bora yule wa Jana, wa leo tofauti sana

Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma

Tena Bora yule wa Jana, wa Jana leo wa Jana

Dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma

Mbona unawatesa sana

Omamee omamee omamee yaya mamee

Omamee omamee omamee yaya mamee

Mbona unawatesa sana

Omamee omamee omamee yaya mamee

Omamee omamee omamee yaya mamee

Ukaanza kulewa madawa kuvuta kwa sana

Ndani ya Dar es Salaam mambo mataam Hayakukuisha

We bado mtoto kwa mama hujayajua mengi

Mwenda tezi na omo marejeo ngamani

Amesema sana mama dunia tambara bovu

Kuna asali na shubiri, ujana giza na nuru

We mwana wewe mwana, mwana jeuri sana

Ulichokifuata huku pata, umekosa ulivyoacha

Kwa baba yako mwana, na mama yako mwana

Kwa vichache ulivyo vitaka, nivingi ulivyoacha

Mbona unjitesa sana

Omamee omamee omamee yaya mamee

Omamee omamee omamee yaya mamee

Mbona unawatesa sana

Omamee omamee omamee yaya mamee

Omamee omamee omamee yaya mamee

Right, Man Walter

Chiks vallo, combinenga

Pertio loso guitar

Unaleta lawama, wewe unaleta lawama

Unaleta lawama, wewe unaleta lawama

We mwana uwooo

Uchungu wa mwana aujuae mzazii

Siku zote milele

Analiaaa ooh

Kutwa nzima analalama iyee

Obaba mama yakoo

We mwana rudieee

Watafurahi wakikuona

Umerejea salamaa

Omamee omamee omamee yaya mamee

Omamee omamee omamee yaya mamee

Omamee omamee omamee yaya mamee

Omamee omamee omamee yaya mamee

Mwana của Ali Kiba - Lời bài hát & Các bản Cover