Ndombolo(feat. AbduKiba, K2ga & Tommy Flavour) - Alikiba/Abdukiba/K2ga/Tommy Flavour
Ayayayaya mamamamama
Lelelele
I say mambo bado bado
Kings iko gado gado
Cheza utakavyo
Mashuti ka ronaldo
Wenye kulewa wako kwado
Mziki uko kwao
Najionaga komando
Konga sa ipo juu
Mi nachezaga ai ndombolo
Inama inuka ai ndombolo
Usivunje mgongo ai ndombolo
Dondo ai ndombolo
Dombolo ai ndombolo
Dombolo ya solo ai ndombolo
Kwani we unachezaje ai
Natamani ai ndombolo hii ngoma hukai
Oh mama anacheza ndombolo
Tena kainama nitatoka tomorrow
Domo zito mi nababaja mi nababaja
Mimi nababaja mi nababaja
Domo zito mi nababaja mimi nababaja
Mwenzenu mimi nababaja
We unachezaga ai ndombolo
Inama inuka ai ndombolo
Usivunje mgongo ai ndombolo
Dondo ai ndombolo
Dombolo ai ndombolo
Dombolo ya solo ai ndombolo
Kwani we unachezaje ai
Natamani ai ndombolo hii ngoma hukai
Baby you're my girl oh baby you're my gal
Baby nipe more nishaonjeshwa nipe more
Wanirusha roho umeshinda umewhine
Ukinipa huchoki najiuliza we mtu ama mashine
We unachezaga ai ndombolo
Inama inuka ai ndombolo
Usivunje mgongo ai ndombolo
Dondo ai ndombolo
Dombolo ai ndombolo
Dombolo ya solo ai ndombolo
Kwani we unachezaje ai
Natamani ai ndombolo hii ngoma hukai
Eeh wivu nayo umenikaa nashika love
Ah ukicheza na mwingine utanitoa roho
Kukutema sitaki taki waninogesha
Ah sitaki taki waninogesha
Kukupenda kindakindaki waninogesha
Oh kindakindaki waninogesha
Oh basi cheza kimadoido oh kimadoido
Biringe cheza kimadoido oh kimadoido
Basi nichezee kimadoido ah kimadoido
Basi oh kimadoido oh kimadoido
Cheza ah ai ndombolo
Inama inuka ai ndombolo
Usivunje mgongo ai ndombolo
Dondo ai ndombolo
Dombolo ai ndombolo
Dombolo ya solo ai ndombolo
Kwani we unachezaje ai ndombolo
Natamani ai ndombolo
Domo zito mi nababaja mi nababaja
Mimi nababaja mi nababaja
Domo zito mi nababaja mimi nababaja
Mwenzenu mimi nababaja
Mi nachezaga ai ndombol