menu-iconlogo
logo

Single Boy

logo
Lời Bài Hát
Yeah

Single boy

Ay ay ay,yeah I'm reckers

I am a single boy

Oh yeah ,p ombe boy

Pombe ni,yeah yeah

Pombe ni,pombe ni,yeah,yeah

Pombe ni,single

Yeah

Pombe ni kichwa kinauma, kishalewa, anajipoza na maji

Na mimi hata muda sina, nishamkanya, ninasikiza mamelody

Nishamwambia nini wewe, kupenda sana utakuwa chizi

Hayanaga mjuzi yahwe, kila mtu analilia mapenzi

Karibu chama la bachelor, ukinipenda, namaliza leo leo tu

Siku hizi kwa kudanganyana, mvulana msichana, ishakuwa poa poa tu

Hakunaga mapenzi yale, yakugandana ni zama za kale

Money on the table now, kinachofata ni mimi na wewe, na wewe

Who the single boy, I am a single boy

Who the single boy, mi naye single boy

Who the single boy, mi na we single boy

Who the single boy, single single single boy

Who the single boy, I am a single boy

Who the single boy, we the single boy

Who the single boy, mi na we single boy

Who the single boy, single single single boy

Who the single boy

I am a single boy

Nimemkuta analia, kajilaza, sababu amechoka

Mengi amevumilia, yalomkwaza, anataka kuondoka

Ana siku ya pili sasa, hajarudi nyumbani kulala

Namuonea huruma sana, haya mapenzi hayana maana

Karibu chama bachelor, ukinipenda, namalizana leoleo tu

Siku hizi kwa kudanganyana, mvulana msichana, ishakuwa poa poa tu

Hakunaga mapenzi yale, yakugandana ni zama za kale

Money on the table now, kinachofata ni mimi na wewe

Who the single girl

Who the single girl

Who the single girl

Who the single girl, am the single single girl

Who the single girl, who single girl

Who the single girl, single single girl

Who the single girl, who the single girl

Who the single girl, single single girl

Who the single girl

Who the single girl,I'm a single girl

Who the single boy, i am a single boy

Who the single girl, i am a single girl

Who the single boy, mi na we single boy

Who the single girl

Who the single boy

Who the single boy, i am a single boy

Yeah

Yeah

Single

Oh yeah ,pombe boy

Pombe ni,yeah

Pombe ni,pombe ni,yeah yeah

Pombe ni,single

Single boy,single boy