menu-iconlogo
logo

Super Woman

logo
Lời Bài Hát
Yeah hii hii hii

Mama, mama, mama mama uuuh, mama mama, mama mama

(Ayolizer)

Heeh

Upendo wako, heshima yako

Dunia nzima mfano hakuna

You are the super woman

Mmh

Mwanamke anaweza bila kuwezeshwa

Anazo nguvu na maarifa ya kujiendesha

Uvumilivu na kujituma ndivyo vyake dira

Eeeh eeeeh eeeeh

Asante mama, kwa kunilea

Tumbo limekuwa

Only super (Super)

Only super woman

Unauza vitenge (Super Woman)

Unachako kigenge (Super Woman)

Unajitafutia kuitunza familia

We ni superwoman

Alinibeba miezi tisa (Mama)

Alipata shida (Mama)

Kichefuchefu kutapika (Mama)

Na hakunichoka (Mama)

Leo napata heshima

Naheshimika sababu ya (Mama)

Mungu akulaze mahali pema

Na sitawacha kukuombea (Mama)

You're my super woman

You're my super woman

Eeei super woman (Super)

Super woman (Super)

Super woman

(Mopao)

Nimekuwa mkakamavu na mahiri

Sababu nimelelewa na mwanamke jasiri

Ooh jasiri, ooh jasiri, aiyee

I am strong man

Raised by strong woman

I am strong man

Raised by strong, strong woman

Machozi yalibubujika nikiyawaza mema yako

Sina cha kukulipa asante kwa baraka zako

Ubarikiwe (Amen) Uzidishiwe (Amen)

Nakupenda mama

Wana muda wa kazi, watoto na daddy

Wana muda na jamii, mwanamke yeyote anaweza

Kimasomaso, kimasomaso, kimasomaso

Mmewaona super woman

Wabeba zege (Wapo), wapiga debe (Wapo)

Sio legelege, mmewaona super woman

Waimba reggea (Wapo), waendesha ndege (Wapo)

Sio legelege, mmewaona super woman

You're my super woman

You're my super woman

Eeei super woman (Super)

Super woman (Super)

Super woman

Napiga saluti aah

Kwa mwanamke anayejituma

Anayejinda hey sio tegemezi ah ah

If you making money (You're the super woman)

Konzo kuu nyumbani (You're the super woman)

You're the super aah eeh, super woman aah

Vipigo minyanyaso

Kudhalilishwa, umevumilia

Kakutelekeza na familia

Unatanga na njia kujitafutia

Hata wakisema, usirudi nyuma

Songa mbele (Songa mbele)

Songa mbele (Songa mbele)

Usichoke mama, maana...

You're my super woman

You're my super woman

Eeei super woman (Super)

Super woman (Super)

Super woman

Waiteee..., aaah tia tia tia tia ti

Aah dombolo dombolo iyo mama

(Dombolo dombolo iyo mama)

Aah dombolo dombolo iyo mama

(Dombolo dombolo iyo mama)

Yaani hata akiwa kilema (Mama ni mama)

Hata kama elimu hana (Mama ni mama)

We kutwa kucha anapambana (Mama ni mama)

Apate kuwatunza wana (Mama ni mama)

Waiteeeee... ati ati ati

We kama kweli super woman, hebu nipe za Jacky Chan

We super woman, hebu nipe za Jet Li

We super woman, hebu nipe za Jacky Chan

We super woman, hebu nipe za Jet Li

Basi nipe za Jacky Chen, Dony Yen, Bruce Lee, Jet Li

Hii kwa niaba ya masuper woman wote

Acha, acha...

Cheza!

Super Woman của Diamond Platnumz/Belle 9/Marioo/Madee - Lời bài hát & Các bản Cover