Miguu zangu ni za left, na nisipodance nawe itaniaffect
Kuswim Ni rumor, itabidi nimejifunza
Kuna mengi ya dunia, Mara mingi nimepuuza
Lakini wewe ndiye njia, Mwalimu wangu Mugisha
Aaah aah I will give you all that I never had
Don't settle for being a boy,
I am raising you to be a man
Aaah aah I will give you all I have
Don't settle for being a prince,
I am raising you to be a king
Uliweka curfew by 6 niwe kwa nyumba
Kuzurura masaa ya giza
Sasa nimepunguza
Diaper nikikufunga
Siamini ningejua
Lakini wewe ndiye njia, Mwalimu wangu Mugisha
Aaah aah I will give you all that I never had
Don't settle for being a boy,
I am raising you to be a man
Aaah aah I will give you all I have
Don't settle for being a prince,
I am raising you to be a king
Sululululuwewewewe wewe ndiye mwanga wangu
Sululululuwewewewe umeondoa giza yangu
Sululululuwewewewe wewe ndiye teacher wangu
Sululululuwewewewe wewe ndiye preacher wangu