menu-iconlogo
logo

Hainistui

logo
Lời Bài Hát
Yao yao, hahaha Jeshi

(Young legendary)

Yii Kondeboy

Eeh! Hainistui!

Hainistui!

Hainistui!

Hapa nilipo kesho yangu sijui

Konde wenzako watakuroga (hainishtui)

Au na wewe ushaogaa (hainishtui)

Maana hunaga uoga (hainishtui)

Hapa nilipo kesho yangu sijui

Eeeh leo nimepata kesho nimekosa

Kazi ya Mola haina makosa

Huyu kampa boda mwingine verosa

Vuta subira ngoja Mungu ajakutosa

Majungu na fitina naaa naa

Zigeuze changamotoo

Maneno muachie Amina naaa naa

Dawa ya moto ni motoo

(Oooh nananaaaah)

Wapo walosema Konde atapotea

Konde atapotea

Ndege katia gia chombo iyo inapepea

Chombo inapepea

Nininakula kwa jasho ooh-ooh

Nipatacho naridhika

Ninasubiri kesho ooh-ooh

Zamu yangu itafika

Nenda waambie, kwamba

Eeh! Hainistui!

Hainistui!

Hainistui!

Hapa nilipo kesho yangu sijui

Ah wenzako wanakuchukia (hainistui!)

Tena wamepanga kukubania (hainistui!)

Isitoshe wao ni matajiri (hainistui!)

Usijali we tumia tu akili (hainistui!)

Hapa nilipo kesho yangu sijui

Yii! Sinaga sifa za kujisifu najua

Kila kukicha kwa Mungu naomba dua

Hustle nazidisha ili nizidi tusua

Wakinifunika kesho nitawafunua

Tena waambie eeh eeeh

Mchanga hauzikwi

Unaubadilisha makazi

Huwezi ziba riziki

Bure utajipa kazii

Mi niinakula kwa jasho ooh-ooh

Nipatacho naridhika

Ninasubiri kesho ooh-ooh

Zamu yangu itafika

Nenda waambie, kwamba

Eeh! Hainistui!

Hainistui!

Hainistui!

Hapa nilipo kesho yangu sijui

Mwana anakula tungi mbayaa (hainishtui)

Yule dada anadanga, malaya (hainishtui)

Ataishi pabaya (hainishtui)

Hapa nilipo kesho yangu sijui

Ina-ina-inaa...

(The mix killer)

Inauma ila itabidi wazoee

Inauma ila itabidi wazoee

Wakimuona dodo na chopa

Inauma ila itabidi wazoee

Eeeh siku izi KondeGang wanatuogopa

Inauma ila itabidi wazoee

Oooh my God its Better Sound

Hunter, hahahaha...

Kwako mwalimu kashasha...

Hainistui của Harmonize - Lời bài hát & Các bản Cover