menu-iconlogo
logo

Dharau

logo
Lời Bài Hát
Mmmh

Aaah

Bomboclaat

Chinga again

Konde music world wide

Eeh Oooh

Cough ah

Mungu alonipa ukilema hawezi ninyima mwendo

Na sikupanga imenibidi kulivua pendo

Maana mwanzo nilidhani utabadilika

Of course hakuna aliekamilika

Masaa masiku miaka imekatika

Nachukia kujiona nikilalamika

Bora ugali dagaa kwenye amani

Kuliko wali nyama vitani

Mateso vitimbwi kurupushani

Kama unajiona kichwa shingo nani

Bora ugali dagaa kwenye amani

Kuliko wali nyama vitani

Mateso vitimbwi kurupushani

Kama unajiona kichwa shingo na mimi sipendi

Dharau manyanyaso

Dharau masimango

Dharau manyanyaso

Siweziii siweziii

Dharau manyanyaso

Dharau masimango

Dharau manyanyaso

Siweziii Siweziii

(Instrument)

Mmmh

Aah

Oooh

Aah Aaaah

Yeah Me nilidhumu nafsi kuji kirihisha

Nikiamini me mtu wa mtu

Kumbe bora ninge chuku chuku

Aaah kidogo

Ninge fanya utukutu

Moyo ndio ulikupa nafasi

Chakusikitisha minacho ambulia ni maumivu tupu

Bora ninge chuku chuku

Aaah kidogo

Ama ningewapa wakifanye supu

Kwako nilikuwa nyendo sina

Nikijua you are my destiny

Sina wa kumtuzia heshima

Kama hata wewe nitashindwa thamini

Ni kweli utakwenda mazima

Japo itakutwa ngumu kwamani

Nitamisi michezo ya mama amina

Yakucheza kwaku buruza ulimi

Eeeh

Mapenzi ulionipa wewe

Walahi mimi sikutamani mwengine we wa kiapo

Mwenzangu umebadilika wewe

Japo minakupa kila utakacho

Bora ugali dagaa kwenye amani

Kuliko wali nyama vitani

Mateso vitimbwi

Na ndio maana hatuendani weeeh (mmh)

Dharau manyanyaso

Dharau masimango

Dharau manyanyaso

Siweziii Siweziii

Dharau manyanyaso

Dharau masimango

Dharau manyanyaso

Siweziii Siweziii

Yaw yaw

Dharau manyanyaso

Manyanyasooo

Yeeh iih

KONDE BOY CALL ME NUMBER ONE

THE MIX KELLER

BAKHRESA

Dharau của Ibraah/Harmonize - Lời bài hát & Các bản Cover